Nimemnyang'anya 'beki tatu' simu, je nimekosea?

Baba siku zote anakuwa na huruma na hg,
kama baba yuko hivi mama atafanyaje,
but ngojea mavuno yako na utayaona.

sijui kwa nini watu mmeng'ang'ana na simu. hebu angalieni hatari kubwa kutokana na hayo matendo yake. Inawezekana mtu akaishi bila simu, lakini ukiharibiwa watoto wako ni balaa zaidi kuliko kuwa na simu. familia nyingi watoto wamekatazwa kumiliki simu na wazazi wao binafsi sioni kama hiyo ni udhalilishaji unapomzuia mtoto kuhodhi simu
 
nyumbani kwako huna mtoto?ikitokea dharura atawasiliana na ww vipi? au ww kama ukiwa na dharura? kumnyanganya simu sio sukuhisho tena hapa unaingiia uhuru wake,cha muhimu akifanyie kazi zako we sema ne mkatazae kuleta watu hapo nyumbani kwani akiamua kuwaleta watakuja tu kwa njia yoyote. acha ubabe.kuwa na housegirl hauna haki ya kumnyima privacy zake ana ndugu pia wanaompigia na wazazi,
 
  • Thanks
Reactions: bht
Please Ndyoko. Be careful unapodeal na msichana wa kazi. Anaweza kukufanyieni lolote, she is the one anayewapikia chakula ukimuudhi na kumtreat kama mhalifu aisee si vema. Kuna hadithi tumezisikia za wasichana wa kazi kuwabanika watoto wachanga wa mabosi wao kisa wanaHISI wamekuwa mishandled.

Mkalishe chini mweleze kuwa unaelewa kuwa yeye ni msichana anahitaji mahusiano but not nyumbani mwako mkiwa hampo. Ask her jinsi ya nyinyi kuweza kumsatisfy needs zake (Zaidi ya chakula, malazi na mavai) mnayompatia. Kaeni chini mweleze madhaya yake na namna ya kujikinga na madhara hayo.
 
Kama inaathiri utendaji wake wa kazi anyang'anwe kabisa, achague simu au kazi. Hana adabu analeta BF nyumbani....Tena kwa ushauri tafuta mwingine mapema.
 
nyumbani kwako huna mtoto?ikitokea dharura atawasiliana na ww vipi? au ww kama ukiwa na dharura? kumnyanganya simu sio sukuhisho tena hapa unaingiia uhuru wake,cha muhimu akifanyie kazi zako we sema ne mkatazae kuleta watu hapo nyumbani kwani akiamua kuwaleta watakuja tu kwa njia yoyote. acha ubabe.kuwa na housegirl hauna haki ya kumnyima privacy zake ana ndugu pia wanaompigia na wazazi,

kweli kabisa akiamua wala hihitaji hiyo simu.
ndyoko huyo ni mtu mzima, anahisia na wakati mwingine mwili wake unahitaji pia. huwa una mpa off yake aende hata kujipuzisha na kufanya shopping au kusalimia ndugu na marafiki?

mimi sifagilii yeye kuleta watu ndani BUT please mtendee kama binadamu tena mwenye uwezo timilifu wa kuelewa jema na baya!!!
 
Ninyi wote mnaojadili kupingana na mtoa mada hamjui issue za beki 3, wanaingiza wanaume na bahati mbaya hawawafahamu. Kuna ndugu yangu mmoja aliibiwa vitu karibu vyote. Beki 3 kazoea kumwingiza jamaa ambaye mchana huwa yupo hapo mtaani anazuga zuga tu. Akawa anakamua beki 3, tena ndani ya nyumba ya bosi wake. Sasa siku yule jamaa si kaingia na jamaa yake, kwanza kapata kitu kisha akam-drug (kamlewesha madawa) kisha akabeba vitu humo ndani.

Bosi kurudi jioni, badala ya kutafuta vitu vyake ikabidi awe bize na hospitali kwanza.

Msiongee tu vitu vingine. Mi sikubaliani na hii kitu kabisa. Ana BF wake basi wakutane huko wanapojua lakini sio ndani kwangu.
 
Hivi zamani wakati hamna simu ikitokea dharura tulikuwa tunawasilianaje?
 
Hatupingi ndugu yangu na wote tuko concern ila tunachomshauri ni kuwa kama hawezimwondoa hapo nyumbani for good badi aangalie namna anavyodeal naye. Jamani hawa wasichana wa kazi msiwatreat kama wafungwa ninawaambia, wengi wamelizwa vilio vikubwa hasa. Just be careful
 
Mkuu kuwa mwangalifu sana huyo beki3 maana atawachanganya watoto kwa mambo ya kipuuzi puuzi tu. Nakumbuka wakati nakua alikuja beki3 moja hv tabia zake zilikuwa mbaya balaa basi one day dingi aliludi hm akamkuta na mtu ndani ding alitoa kipigo kwa wote na kuwapeleka polisi wote. Yaan alikuwa chai balaa afu anatualibia kitaa. Fukuza tu huyo mkuu. Analeta tabia za kiasherati tu hapo. Fukuza
 
kuna katabia kasiko ka kawaida nilikaona kwa beki tatu wetu. Kuna wakati niliambiwa kuwa tukitoka home, baada ya muda mfupi kuna vivulana vilikuwa vikija. Kuna siku tulitega mtego na kweli ndege wakanasa. Tulitoka asubuhi kwenda kwenye mishemishe zetu, kumbe huku nyuma beki tatu akawasiliana na bf wake, kavulana kakaja home, ndani ya robo saa nikarudi kweli nikakuta mvulana wamekaa sitiing room wanachat kwa raha zao.

Nilipoingia ndani waliduwaa, nadhani hawakutegemea, wasijue wafanye nini. Nilimkamata dogo nikampa vibao vya haja dogo akatoka mkuu akiugulia mambata niliochapa. Nikamgeukia beki tatu nikamnyang'anya simu nikamwambia nitampa atakapoenda likizo. Amenuna kishenzi lakini hana jinsi. Tangu siku ile, nimeambiwa sasa hivi hakuna hizo movement tofauti na awali alipokuwa na simu. Kuna siku moja nikaamua kuiwasha ile simu, walai, kuna kama vi boy friend vyake vitatu vinadai mbona siku hizi hawaambii waje home, kwani kuna nini au sisi waajiri wake tuko likizo kwa hiyo muda mwingi tuko home ndo maana hawaambii waje?

Wakuu jaribuni kuwa makiini na hawa beki tatu, kwani wengi wao hatuwajui tabia zao. Tunapokuwa kazini ni mengi yanatokea huku majumbani mwetu, mweeeeeeee! Chukueni tahadhari, huenda nyumba zetu zinageuka madanguro ya muda tunapokuwa makazini. Huenda nimefanya kosa kumpora mobile yake, lakini uamuzi wangu nahisi ni wa heri na ntamrudishia tu atapoenda likizo kwao makete.

Mwenzenu nimefunguka akili, wewe je?
jamani beki tatu wangu alianza haya:
1. Usiku kucha anachati na cm yake, akawa usiku simu anapigiwa akiwa chumbani kwake mpaka tukawa tunakosa usingizi kibaya zaidi majirani wakawa nao wanalalamika kwani anaweka usalama kuwa mdogo
2. Akaanza kuwa anatoka usiku wa manane anaenda kwa kijana mmoja ambae anakaa kwa kaka yake hapa hapa tunapoishi, siku moja nikaamua kuwa tukulala niwe nachukua funguo za mlango wa kutoka nje aaaa wapi si mchana akaenda chongesha funguo mwingine
3. Basi nikashauriana na mwenzangu tukamrudisha sigimbi kwao!!
 
Hivi zamani wakati hamna simu ikitokea dharura tulikuwa tunawasilianaje?

We acha tu Madam, Enzi hizo hamna tena,zimepita,Zamani ilikuwa ikitokea dharura mnasurfer.
Sasa hivi wala hamnaga taabu, unapiga tu, Nikikutaka Madam T Sipigi kwa Jirani, wala hamna opereta ni wewe ni wewe tu.
 
jamani beki tatu wangu alianza haya:
1. Usiku kucha anachati na cm yake, akawa usiku simu anapigiwa akiwa chumbani kwake mpaka tukawa tunakosa usingizi kibaya zaidi majirani wakawa nao wanalalamika kwani anaweka usalama kuwa mdogo
2. Akaanza kuwa anatoka usiku wa manane anaenda kwa kijana mmoja ambae anakaa kwa kaka yake hapa hapa tunapoishi, siku moja nikaamua kuwa tukulala niwe nachukua funguo za mlango wa kutoka nje aaaa wapi si mchana akaenda chongesha funguo mwingine
3. Basi nikashauriana na mwenzangu tukamrudisha sigimbi kwao!!

wewe unavyo mega mke wako chumbani unafikiri nae house girl hapatwi na hamu?
 
Pole sana mkuu ila mi nakuomba tumia busala namin hiyo athabu ya kuchukua cm kuna kitu amejifunza sasa we mludishie ila mpe elimu ya kutosha na umuonye kusudi apate jua madhala yake.huyo sawa na mdogo wako au mwanao.
 
Analika kabisa na kutafunika huyo au sio??

wewe unavyo mega mke wako chumbani unafikiri nae house girl hapatwi na hamu?

si ndo hapo sasa....

utafikiri kuwa hausigeli basi umechomwa na sindano za kuua hisia nyingine....(lazima uwatetee maana una maslahi hapo)

hapo usikute hana hata ofu 'mtoto' wa watu....ndyoko ngoja siku ukute anakafundishe ka boy kako tabia mbaya..ohoo!!!
hao wasichana bana, handle them carefully!!
 
Namlipa 50,000 kwa mwezi. vipi nimuongezee?

Mkuu that is way below official kima cha chini,pamoja na kwamba mimi sio mwanasheria lakini naamini kumlipa mtu below kima cha chini kisheria ina adhabu zake,na hii ni pamoja na kumnyima haki zake nyingine za msingi kama likizo,kutompa muda maalum wa kufanya kazi na kupumzika,kumpiga,kutomlipa stahili zake kwa wakati n.k
 
Kuna katabia kasiko ka kawaida nilikaona kwa beki tatu wetu. Kuna wakati niliambiwa kuwa tukitoka home, baada ya muda mfupi kuna vivulana vilikuwa vikija. Kuna siku tulitega mtego na kweli ndege wakanasa. Tulitoka asubuhi kwenda kwenye mishemishe zetu, kumbe huku nyuma beki tatu akawasiliana na bf wake, kavulana kakaja home, ndani ya robo saa nikarudi kweli nikakuta mvulana wamekaa sitiing room wanachat kwa raha zao.

Nilipoingia ndani waliduwaa, nadhani hawakutegemea, wasijue wafanye nini. Nilimkamata dogo nikampa vibao vya haja dogo akatoka mkuu akiugulia mambata niliochapa. Nikamgeukia beki tatu nikamnyang'anya simu nikamwambia nitampa atakapoenda likizo. Amenuna kishenzi lakini hana jinsi. Tangu siku ile, nimeambiwa sasa hivi hakuna hizo movement tofauti na awali alipokuwa na simu. Kuna siku moja nikaamua kuiwasha ile simu, walai, kuna kama vi boy friend vyake vitatu vinadai mbona siku hizi hawaambii waje home, kwani kuna nini au sisi waajiri wake tuko likizo kwa hiyo muda mwingi tuko home ndo maana hawaambii waje?

Wakuu jaribuni kuwa makiini na hawa beki tatu, kwani wengi wao hatuwajui tabia zao. Tunapokuwa kazini ni mengi yanatokea huku majumbani mwetu, mweeeeeeee! Chukueni tahadhari, huenda nyumba zetu zinageuka madanguro ya muda tunapokuwa makazini. Huenda nimefanya kosa kumpora mobile yake, lakini uamuzi wangu nahisi ni wa heri na ntamrudishia tu atapoenda likizo kwao Makete.

Mwenzenu nimefunguka akili, wewe je?
sasa mke wako akisema unaona beki tatu wako kuliwa na wengine ili hali na wewe unamtafuna atakuwa na kosa? kwa jinsi hiyo inaonekana we unakula beki tatu wako, kama hauli basi inawezekana ulishamtaka au una mpango wa kumbenjua sasa unaona kama madogo wanafaidi kabla ya wewe...ukimbana sana atakuwa anawasaga watoto wako, ndio ukome kwakumbana beki3 wako....mpe uhuru wake bwana!!!!
 
kweli kabisa akiamua wala hihitaji hiyo simu.
ndyoko huyo ni mtu mzima, anahisia na wakati mwingine mwili wake unahitaji pia. huwa una mpa off yake aende hata kujipuzisha na kufanya shopping au kusalimia ndugu na marafiki?

mimi sifagilii yeye kuleta watu ndani BUT please mtendee kama binadamu tena mwenye uwezo timilifu wa kuelewa jema na baya!!!

mkuu nilishasema kwamba wikend huwa yuko off tena ile ya kwenda 'kuzurura' ni kama zile outing za students wa boarding school
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom