mafiakisiwani
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 833
- 620
Watu kwa kujipaisha humu dah!
una maana ana ID mbili kama mimi?
Dhahiri washairi
Khaaa!R.I.P Washawasha, just in case..!
Khaaa!
Mie good TANMO. Heri ya mwaka mpya na wewe pia...Sweetlady hujambo dada? Heri ya mwaka mpya..
R.I.P Washawasha, just in case..!
Kweli kabisa, mie pia nimemmiss sana, sijui amepatwa na nini huyu mwenzetu manake alikuwa na mahudhurio mazuri jf mara ghafla kapotea..
Weee koma, navyompenda Washawasha na makeke yake na chungwa lake, dah.