Ni heri ukawa kipofu wa macho ya nje kuliko kuwa kipofu wa macho ya ndano maana macho unayo ila hauoni. Kwa taarifa yako Arabela ananipenda sana utakufa nacho kiziba cha roho
Nakunong'oneza.....mwambie twende wootee
mi namshangaa nitts,anapenda wanawake wa class wakati yeye hoi ka bishanga
Miguu yangu yote miwili iko ndani kamwe haitatengana. Lazima niitimilize furaha yako.
Tatizo mshenga ana wivu sana. Anasema moyo wako haujafunguka vzuri ya kweli hayo?
mbona unayaanika ya chumbani laazizi wangu