Nimemmiss kipenzi changu Arabela

Nimemmiss kipenzi changu Arabela

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,910
Uchelewapo kurudi nyumbani moyo hunidunda dunda
Penzi lako limenifanya nijihisi kama niko mbingu ya tatu
Naamini daima nitalilinda penzi lako
Nakupenda sana ewe waridi wa moyo wangu
I love you so much Arabela
 
Last edited by a moderator:
We nitts huyo mahbuba wako ushamfanyia shopng ya Eid au longolongo tu?
 
Uchelewapo kurudi nyumbani moyo hunidunda dunda
Penzi lako limenifanya nijihisi kama niko mbingu ya tatu
Naamini daima nitalilinda penzi lako
Nakupenda sana ewe waridi wa moyo wangu
I love you so much Arabela

mh jaman umenitupa. Mpaka naambiwa upo mgu nje mguu ndani
 
Last edited by a moderator:
mi namshangaa nitts,anapenda wanawake wa class wakati yeye hoi ka bishanga

Huu ndio wakati wangu kutumbua mafweeza wala situmii mikopo maana nitafirisika haraka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom