figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
mwenzenu nina mkosi.nimemkuta anayejiita mpenzi wangu anasasambua mbele za watu usiku wa manane pale maisha club alhamis kwenye show ya twanga.anacheza hadi watu wanampigia makofi na kumtuza.
hakujua kama nipo maeneo yale coz alijua nipo home naumwa.kwa hasira nikarudi zangu home.
kesho yake nikamwambia kwamba kuna watu walimuona club.akakataa katakata hadi akalia kwamba hajatoka home.akasema hao ni wabaya wetu wanataka kutugombanisha.nimfanyeje?
X akija hapa msikubali atakayo yasema ni muongo.mia