Nimemkuta anasasambua huku akipigiwa makofi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,845
mwenzenu nina mkosi.nimemkuta anayejiita mpenzi wangu anasasambua mbele za watu usiku wa manane pale maisha club alhamis kwenye show ya twanga.anacheza hadi watu wanampigia makofi na kumtuza.
hakujua kama nipo maeneo yale coz alijua nipo home naumwa.kwa hasira nikarudi zangu home.
kesho yake nikamwambia kwamba kuna watu walimuona club.akakataa katakata hadi akalia kwamba hajatoka home.akasema hao ni wabaya wetu wanataka kutugombanisha.nimfanyeje?
X akija hapa msikubali atakayo yasema ni muongo.mia
 
kesho yake nikamwambia kwamba kuna watu walimuona club.akakataa katakata hadi akalia kwamba hajatoka home.
KWELI HAJATOKA, WE MUAMINI TU, UMESIKIA EEEH!
 
ndani nako hakusasambulii???if yes unalalamika nn? ndo fani yake,ukipenda boga penda na ua lake,
 
mwenzenu nina mkosi.nimemkuta anayejiita mpenzi wangu anasasambua mbele za watu usiku wa manane pale maisha club alhamis kwenye show ya twanga.anacheza hadi watu wanampigia makofi na kumtuza.
hakujua kama nipo maeneo yale coz alijua nipo home naumwa.kwa hasira nikarudi zangu home.
kesho yake nikamwambia kwamba kuna watu walimuona club.akakataa katakata hadi akalia kwamba hajatoka home.akasema hao ni wabaya wetu wanataka kutugombanisha.nimfanyeje?
X akija hapa msikubali atakayo yasema ni muongo.mia
Kwa nini wewe hujaenda kumtuza ndiyo awe na uhakika kwamba umemuona??
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Wote Mnatabia zinazofanana, ila tu wivu unakusumbua. "kama lifestyle yenu ni club, kwanini umlaumu mwenzio wakati alichokifanya kina sifa kubwa maeneo hayo!!?``
 
Kwani mkeo? Kama wewe kaweza kukusambulia kwa raha zako, kwanini asiwasasambulie wengine kwa raha zao? Una hati miliki?

Biashara ni matangazo! Unanchekesha, eti "mpenzi". Mpenzi pochi tu kwa anaeweza kukuvulia kabla ya ndoa. Usijidanganye.
 
ungemtuza minoti nawewe tena usoni kama pedeshee ili ajue ushahidi tosha unao

Atatolea ujasiri huo wapi nae kashakolezwa!?........sasa hapa akili yake inasigana,uchafu aliokuwa anafanya nae,ingawa atasema mapenzi,anaumiss,na huku akili yake haitaki kukubali kwamba kaingia choo cha kike
 
mwambie tu ukweli, mwambie ulimuona mwenyewe na mwambie uliona nini na nini, mwambie unavo jiskia kuhusu hili alafu akikubali alikuwepo ndio muanza kufikiria mtafanyaje aache tabia hiyo inayo kukera wewe na anayo ionea aibu mwenyewe.
 
mwenzenu nina mkosi.nimemkuta anayejiita mpenzi wangu anasasambua mbele za watu usiku wa manane pale maisha club alhamis kwenye show ya twanga.anacheza hadi watu wanampigia makofi na kumtuza.
hakujua kama nipo maeneo yale coz alijua nipo home naumwa.kwa hasira nikarudi zangu home.
kesho yake nikamwambia kwamba kuna watu walimuona club.akakataa katakata hadi akalia kwamba hajatoka home.akasema hao ni wabaya wetu wanataka kutugombanisha.nimfanyeje?
X akija hapa msikubali atakayo yasema ni muongo.mia
Pole sana lakini ebu nikulize swali lakizushi ,ww umesema umemdanganya mchuchu wako kua unaumwa,ulijuaje kama yuko hapo Maisha au ww mgonjwa ulienda kufata nn?inaonyesha wazi kua nyote kunguru na hakuna mkweli kati yenu..
 
tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..........umekubaliana na kulia kwake HONGERA...mkaka we 100% mbona maamuzi 2% inakuwaje.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom