Bora umejitokeza maana watu presha zilishaanza kupandaSio kweli Mshana Jr...
Huu mshkaki hauwezi kuharibu hiyo bodaboda??
nimemuona ladyfurahia....! hujambo lakini???atakuja tu msiwe na haraka anamalizia kibanda cha uani kwetu sisi watoto wake tusihangaike baadaye
mwee
cc Mtambuzi
Asante mtani....roho zilikuwa juuNimekuja douta...u hali gani wewe....miss u back pumpkin!!!
Asante mtani....roho zilikuwa juu
Bora umejitokeza maana watu presha zilishaanza kupanda
Nipo mkuu, tumeshapoa tunajipanga kuchukua ubingwa.Upo mkuu....poleni kwa kichapo Taifa...mwaka huu wetu
sijambo mkuu ndugu yangu nimekukumbukaje upo kweli au nawe kama unazushiwa hahahahaaaaaaaanimemuona ladyfurahia....! hujambo lakini???
Nipo Binamu, majaribu tu ya dunia!! Hasa huyu bwana magu....sijambo mkuu ndugu yangu nimekukumbukaje upo kweli au nawe kama unazushiwa hahahahaaaaaaaa
pole yote maisha mkuu ni kupambana tu hakuna jipya sana wewe pambana maisha ni kupambana mpaka tone la damu ya miwishoNipo Binamu, majaribu tu ya dunia!! Hasa huyu bwana magu....
Yaap Binamu...,pole yote maisha mkuu ni kupambana tu hakuna jipya sana wewe pambana maisha ni kupambana mpaka tone la damu ya miwisho
HAO WATU NANE KWENYE BODABODA NOMA SANAAisee...mbona mshangao mrefu hivyo