Uzi upo kwenye chitchat mkuu ntakutag ujeNadhani hakuna kitu kama hicho
nani kasema dady hayupo duniani yuko mbinguni
mbona mm daddy naongea nae kwa simu na juzi nimetoka kuongea naye sasa mbona wanamzushia hivyo heeeU cant be serious aisee... Henu nenda kwa Balozi wa nyumba kumi ukachukue maelezo... Labda aliaga kuwa aenda ushagoo....
aliyekwambia tumefurahia nani mnamtangazia kifo daddy yetu Watu8 kwani nyie ndio muumba wakeduu watoto wanafuraha lakini baba anajua anavunja sheria.
atakuja tu msiwe na haraka anamalizia kibanda cha uani kwetu sisi watoto wake tusihangaike baadayeWatu8 wapi wewe bro.....
lakn uwezekano wa kufa tangunhiyo juzi upo pale paleDuu afadhali
Unamaanisha yuko mwezini....Nilisoma pahala humu kwa hayupo duniani
Watu8 sijamsoma mda mrefuuuuu
Nilisoma pahala humu kwa hayupo duniani
Si kweli,nilimsoma majuzi kati kule jukwaa la wakubwa.