Huyu jamaa ni jirani yangu hapa kazini ila simuonagi kabisa aisee...!
lakn uwezekano wa kufa tangunhiyo juzi upo pale pale
Mbuzi Mzee naw alishiaga wapi?
Unamaanisha yuko mwezini....
kanambia nije mwenyewe kukutoa wasiwasi kipenzi...you're missed by the way...big time
Hahah! mbona hilo jukwaa huwa silitembelei kaka
Asavali sanaSio kweli Mshana Jr...
uuza matunda yule wa pale kanisani sasa hivi ame upgrade...... anauza matunda kwenye vi kontena............We wajua wapi pa kunipata Kasie...
Kaka kwema lakini?
M
uuza matunda yule wa pale kanisani sasa hivi ame upgrade...... anauza matunda kwenye vi kontena............
ukirudi unitonye ili nikusubirie kwa yule muuza matunda. Naogopa kumwagiwa maji ya moto nikisema nikutafute ulipo..... naomba tuu nifikishie salamu zangu kwa Mentor 😛
By the way, nice to see you again. Nikutakie uwajibikaji mwema.
Nakupigia mentalii laa nakuja hapo hapo.... ntaishia getini au ntasimama kwa muuza matundaTupigianeeee........
Nimekumiss sana pia....Usipotee hivyo mpz ..
Mimi ni dada. I saw your comment in one of the threads.If mistaken forgive me.
Muuza matunda yule wa pale kanisani sasa hivi ame upgrade...... anauza matunda kwenye vi kontena............