Ni kweli mkuu. Hakufurahia kuona watu wanafukuzwa chuo kwa kufeli somo lake na hivyo alijitahidi watu wasome waelewe na baadae waende zao wakafie kwenye mikono ya wababaishaji wengine.Marehemu Prof.Edward K.Shayo Huyu bwana alikuwa Profesa Makini kweli kweli ,Lakini aliponunua akili no.3 basi ndo ikawa mwisho wa uhai wake!!! Mungu ailaze mahali pema peponi.ZIDUMU FIKRA ZAKE MAKINI.Wale mlioshikwa Maths.mnamjua vema.
Marehemu Prof.Edward K.Shayo Huyu bwana alikuwa Profesa Makini kweli kweli ,Lakini aliponunua akili no.3 basi ndo ikawa mwisho wa uhai wake!!! Mungu ailaze mahali pema peponi.ZIDUMU FIKRA ZAKE MAKINI.Wale mlioshikwa Maths.mnamjua vema.
He was good in math and computer!
alikuwa na upendo mno na nchi kiasi cha kuingia kwenye siasa akiamini watu watamuelewa, matokeo ya kura ya urais kama sikosei Tabora alipata kura moja! hii nchi yetu tunalaana nyingi sisi!!!
Kiongozi,
Kwa kumbukumbu yangu, Huyo Prof. hakuwai kumkamata mwanafunzi katika somo lake - Vector Analysis [I - III] - Aliyekuwa anafeli sana ni KARAI!
BTW: Kijiji cha science alichoanzisha kimefia wapi
RIP - Shayo EK
Huyu alifanya kampeni safi kabisa zisizo na doa. Akaonekana kituko na kichekesho kila alikopita.
only in math. not in computer... just put record right!He was good in math and computer!
hapana alikua mmoja ya wasomi w mwanzo mwanza hapa Tz kubobea pia katika Technolojia ya Computer, ila uprofesa wake ulitokana na mafanikio yake ktk mathematics, alikufa akipigania Technolojia, aliamini ktk dunia ya leo hakuna maendeleo kama nnchi itaendelea kulala katika Technologia, Amka Tanzania.only in math. not in computer... just put record right!
hapo sijaelewa, nimekua napasoma mara mbili mbili bila kuelewa, aliepaelewa abandike ufafanuzi.....na atakua amenisaidia.Akili no.2 ni ya waandishi wa habari, haijapimwa na ikajulikana ilivyo (buy on your own risk) inaweza ikawa imetumika sana, mf. kwa sasa waandishi wa magazeti ya raia mwema, au ikawa mpya mf. waandishi wanaosubiri maagizo ya boss, leo wamchafue nani au wamsifie nani!!
Aliitwa Prof Leonard .K. Shayo.Huyu alikuwa mwl. wa hisabati pale UDSM aliyependa sana mizaha akiwa darasanai, mojawapo ni hii hadithi hapa:
Hapo zamani za kale akili zilikuwa zinauzwa. Basi mtu mmoja akaenda kununua akili akakuta bei zifuatazo akili no.1=US$1000, akili no.2=US$5000 na akili no.3=US$10000!!
Alipouliza kulikoni bei tofauti akajibiwa:
Akili no.1 ni ya wasomi na wanasayansi, ni akili ambayo imetumika sana hivyo uwezekano wa kuchakaa mapema ni mkubwa sana!!
Akili no.2 ni ya waandishi wa habari, haijapimwa na ikajulikana ilivyo (buy on your own risk) inaweza ikawa imetumika sana, mf. kwa sasa waandishi wa magazeti ya raia mwema, au ikawa mpya mf. waandishi wanaosubiri maagizo ya boss, leo wamchafue nani au wamsifie nani!!
Akili no.3 ni akili ya wanasiasa, hiyo ni mpya kabisa! Hutumika mara moja tu kwa muda wa miaka mitano! Mfano mwanasiasa anayeagiza barabara za flying over zijengwe mara moja, wakati ya Nelson mandela ilimshinda; au kuipa nguvu takukuru wakati boss mwenyewe Richmond ilimshinda.
Alihitimisha kwa kusema: KIDUMU CHAMA CHA DEMOKRASIA MAKINI!!!
Mungu amkaze pema peponi!!
hapo sijaelewa, nimekua napasoma mara mbili mbili bila kuelewa, aliepaelewa abandike ufafanuzi.....na atakua amenisaidia.