Nimemkumbuka Dr. Slaa

Nimemkumbuka Dr. Slaa

Dr Mihogo alimkimbia Lowassa sasa Lowassa karudi aliko sijui itakuwaje
 
Dr Slaa alikuwa anapendwa na watu wengi watu walikua wanapenda kusikikiliza hotuba zake na tukaamini ndiye rais wetu ajaye upepo ulibadilika Lowasa alipo karibishwa chamani mambo yakawa ndivyo sivyo binafsi nitamkumbuka sana Dr Slaa na sijaona mtu mwingine wa kuvaa viatu vyake.
 
Nini risasi usisahau mkutano wa chadema ambao ulipigwa bomu huko Arusha! Basically wengine tulijua nini kingetokea kwa Chadema baada ya kupoteza uchaguzi hasa kupoteza ushawishi.

Hata Mbowe alijua matokeo yake ndio maana alisema atajiuzuru akishindwa!
kuhusu kupoteza ushawishi UNAJIDANGANYA.
AMINI nakwambia,wakiruhusu mikutano na kazi za siasa hata kesho HUTAAMINI KITAKACHOTOKEA.
 
Mkuu kama unafikiria kwa kutumia kiungo stahiki ebu niambie ungekuwa ni wewe ungefanya nini wakati hata mikutano yao ya ndani hawaruhusiwi
Kila mbunge karuhusiwa kufanya siasa jimboni kwake, wabunge wangapi wameenda kuunga juhudi? Hyo ina maanisha wapo upinzani sababu Fulani ila hawana itikadi mioyoni mwao. Na haya yalianza kwa mwenyekiti 2015
 
Ila pia Dr Slaa ana kipaji cha kujieleza kwa level nyingine. Ule mdahalo ITV ambao CCM walimkimbia alisimamisha nchi kwa hoja zilizopangwa na zinaelezwa kwa utulivu bila matusi wala mihemko.

Hata hotuba ya Serena alipindua upepo wote na hadi kesho itabakia kuwa hotuba bora sana. Acha apumzike zake tu kwa zile sarakasi alizofanyiwa na watu aliowaamini sana unaweza kufa kwa pressure.
Sasa think tank ya chadema ni Mashinji... Sijui waliwaza nn hawa watu...
 
Dr Slaa alikuwa anapendwa na watu wengi watu walikua wanapenda kusikikiliza hotuba zake na tukaamini ndiye rais wetu ajaye upepo ulibadilika Lowasa alipo karibishwa chamani mambo yakawa ndivyo sivyo binafsi nitamkumbuka sana Dr Slaa na sijaona mtu mwingine wa kuvaa viatu vyake.
Hakika mkuu
 
Kila mbunge karuhusiwa kufanya siasa jimboni kwake, wabunge wangapi wameenda kuunga juhudi? Hyo ina maanisha wapo upinzani sababu Fulani ila hawana itikadi mioyoni mwao. Na haya yalianza kwa mwenyekiti 2015
katiba gani inasema kila mbunge karuhusiwa kufanya siasa jimboni kwake tu?huko ni kuleta utengano wa kitaifa badala ya kuwaunganisha watanzania.
 
Kila mbunge karuhusiwa kufanya siasa jimboni kwake, wabunge wangapi wameenda kuunga juhudi? Hyo ina maanisha wapo upinzani sababu Fulani ila hawana itikadi mioyoni mwao. Na haya yalianza kwa mwenyekiti 2015

Sasa mbunge afanye siasa jimboni kwake peke yake, je mikakati ya chama na mbinu zingine atazipata wapi kama akiwa yuko pekee? Mbona hayo ma fisiemu kila uchwao wanakutana na kujadili jinsi ya kuua upinzani lakini bado wamekwama na jiwe ndiyo kwanza anazidi kushuka. Amka mkuu acha kushikiwa akili unless uwe unatania
 
Ccm ni janga, chadema pia ni janga... Wana ruzuku ya zaidi ya million 300 per month ila ofisi yao kama choo. Wote wapigaji tu. Ndio maana sisi vijana tuliamua kuvaa kaki, but for what chairman did during 2015 election.....
 
Mwache Balozi Dr Slaa ale Maisha ughaibuni maana siasa za uongo, majitaka, usaliti na undugu siyo mchezo zinazeesha sana. Ni bora sasa hivi aongeze life span yake huko huko karibu na anapobeba maboksi Tundu Antipasi Lissu.
Nonsense, Ngoja nikwambie Dr Slaa Hana Cha kupoteza Hata akiacha ubalozi Leo.
Anachosimamia ni uzalendo.
Nenda kajifunze namna alivyo kosoa serikali na kuisimamia
 
Alinyimwa kugombea ubunge akiwa CCM akahamia CDM,kanyimwa kugombea uraisi akiwa CDM akahamia CCM. Kwa hiyo yeye haoni wengine kufaa kugombea bali yeye tu!?
Shida yake kubwa hana maamuzi, maamzi hutoka kitchen.
Shuntama funika bovu.
 
Nonsense, Ngoja nikwambie Dr Slaa Hana Cha kupoteza Hata akiacha ubalozi Leo.
Anachosimamia ni uzalendo.
Nenda kajifunze namna alivyo kosoa serikali na kuisimamia
Ok. Ila punguza Povu...Usipaniki....Relaaaxxx
 
Back
Top Bottom