Nimemkomoa

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,637
10,721
Maongezi kati ya Mama na binti yake

Binti; Mama leo nimemkomoa Juma, si ulisema akija nisikubali kupanda juu ya mpera kwasababu nia yake ni kunichungulia nguo ya ndani?

Mama; Nikweli kabisa binti yangu una akili sana, enhe alipokuja ulikataa kupanda kumuangulia mapera?

Binti; Hapana Mama
Aliponiambia panda uniangulie mapera basi nikaingia ndani nikavua chupi anayoichungulia halafu nikapanda

Mama; Atiiii?

Binti; Basi huko chini akawa anahangaika kweli kuchungulia lakini haioni
Basi nikachuma mapera yote hadi maua, yeye kakazani kanyaga tawi hilo na mguu mwingie tawi lile angua na majani, lakini hajaiona kabisa nguo yangu ya ndani

Mama; Tobaaaaaaaaaa
Akaanguka akazirai
 
Back
Top Bottom