kula tano. Huyo jamaa wanayedai ni biological father ni "sperm donor" tu na watu kama hao wapo wengi tu duniani. Baadhi ya hospitali ulaya wana utaratibu wa kununua "sperm" toka kwa wachangiaji mbalimbali na kuziuza
kwa akina mama wenye kuhitaji watoto kwa masharti kuwa mtoaji hatakiwi kujulikana ni nani.
acheni kumpoteza jamaa yenu. anatakiwa kumkubali huyo baba mpya, na apokee jina la ukoo ili atambulike na watoto wake watambulike na kizazi chake kitambulike. asipofanya hivyo kuna hatari watoto wake wakaja kuoleana na watoto wa baba wa damu n.k vilevile, hautakiwi kumlaumu baba aliyefichwa, pengine alikuwa hata hajui, anayetakiwa kulaumiwa ni mama yako ambaye alijua tangu uko mbimba lakini akaficha. hata hivyo, be careful reaction utakayochukua dhidi ya mama yako kwasababu huyo ni mama yako hata kiwa na makosa unatakiwa kuwa na adabu. "waheshimu baba yako na mama yako siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi uliyopewa na Bwana Mungu wako", kati ya laana nyingi watu wanapata ni kutoishi vizuri na baba na mama. hivyo mama hata kama ana makosa, don't react as if wewe ni under 18. nakuona una miaka 38 naamini hata akili itakuwa na umri huo. mamako ameishi na jambo hilo gumu moyoni, limemuumiza hadi amelitapika, shukuru kwa hilo. babako mpya amejulikana shukuru ili ujuue ukoo wako na ndugu zako. huyo aliyekulea endelea kuishi naye kama baba mzazi lakini kama adopted tu na umheshimu kwa heshima zote na usimtupe. usimkatae huyo mpya pengine kwasababu unaona masikini labda mamako alimtosa ukiwa mimba kwasababu jamaa alikuwa hana hela sasa huyo aliyekulea alikuwa nazo ndio maana amekupeleka nchi kadhaaa...hahaha, usifanye hivyo. baba ni baba. kuna watu wanatumia hela nyingi sana kumtafuta baba wamjue hata kwa sura lakini wanashindwa. shukuru Mungu umempata babako.
unaweza kuwa haujamwelewa, huyo baba mpya alikuwa hajui kuwa ana mimba, ni kawaida ya ninyi wanaume mkiona waume zenu hawaweki mimba mnapakazia mnaenda kugongwa na yeyote na kubambika mimba kwa yule mwenye hela mnayekaa naye. inawezekana uyo baba alikuwa hajui kwasababu angelijua, HAKUNA MWANAUME ANAYEWEZA KUKUBALI DAMU YAKE IPOTEE tena kwa miaka 38 hiyo. pima pande zote mbili. ninyi wanawake wabaya sana ona sasa jamaa mnamuweka njia panda na kama jamaa na 38 yake angekuwa hajaoa angewachukia wanawake wote duniani...pamoja na kwamba kwa umri wote huo inaonekana bado ana akili ya kitoto hajakua kabisa yaani. sijui ameoa na ana mke?Ni vyema ulivyofanya kwani huyo baba alikuwa wapi siku zote mpaka aje leo,
wala usinipakazie matatizo yenu mimi. mimi nimetoa ushauri tu. mtu wa 38 hadi leo anaona ilo jambo ni la ajabu, na kumkana baba yake aliyekutana na mama yake ili aje duniani? akili gani hiyo au matope?au na wewe una tabia za kutelekeza watoto? huyo baba mpya ni SHIT!
Hute wapo wanaume wanaokubali damu zao zipoteeunaweza kuwa haujamwelewa, huyo baba mpya alikuwa hajui kuwa ana mimba, ni kawaida ya ninyi wanaume mkiona waume zenu hawaweki mimba mnapakazia mnaenda kugongwa na yeyote na kubambika mimba kwa yule mwenye hela mnayekaa naye. inawezekana uyo baba alikuwa hajui kwasababu angelijua, HAKUNA MWANAUME ANAYEWEZA KUKUBALI DAMU YAKE IPOTEE tena kwa miaka 38 hiyo. pima pande zote mbili. ninyi wanawake wabaya sana ona sasa jamaa mnamuweka njia panda na kama jamaa na 38 yake angekuwa hajaoa angewachukia wanawake wote duniani...pamoja na kwamba kwa umri wote huo inaonekana bado ana akili ya kitoto hajakua kabisa yaani. sijui ameoa na ana mke?
Hahahaha...kaja na tezi zake kimbele front...tehetehe..
Yaani hilo baba jinga kweli, mwenzie kalea mpaka mtoto kawa mkubwa ndo linaibuka kaa kambalee...
Mimi nina miaka 38 sasa, msomi wa elimu ya juu na nina kazi nzuri pia, nilikuwa naishi vizuri na wazazi wangu wawili I mean baba na mama, sasa hapa juzi baada ya ugomvi, mama ameondoka nyumbani na kuniambia eti baba nilienae sio baba yangu biological na baada ya kikao kirefu nimeonyeshwa baba mwingine wanaomsema ndio baba biological ila mbele ya watu wote nilimkana na kumwambia asinijue kabisa na wala sitaki kuharibiwa maisha yangu.
Mimi nina baba yangu ambae amenilea na ndio naamini ni baba halisi kwangu, sasa wanakazania DNA mimi nikasema sitaki chochote na nisiingizwe kwenye ugomvi wa wazazi wangu na ninampenda sana baba yangu alienilea kwasababu amenisomesha shule za gharama na amenitembeza duniani na kunipa kila nilichotaka mpaka hapa nilipo namwona kama mtu namba moja muhimu kwangu hapa duniani.
Je waungwana nilichofanya ni makosa?
unaweza kuwa haujamwelewa, huyo baba mpya alikuwa hajui kuwa ana mimba, ni kawaida ya ninyi wanaume mkiona waume zenu hawaweki mimba mnapakazia mnaenda kugongwa na yeyote na kubambika mimba kwa yule mwenye hela mnayekaa naye. inawezekana uyo baba alikuwa hajui kwasababu angelijua, HAKUNA MWANAUME ANAYEWEZA KUKUBALI DAMU YAKE IPOTEE tena kwa miaka 38 hiyo. pima pande zote mbili. ninyi wanawake wabaya sana ona sasa jamaa mnamuweka njia panda na kama jamaa na 38 yake angekuwa hajaoa angewachukia wanawake wote duniani...pamoja na kwamba kwa umri wote huo inaonekana bado ana akili ya kitoto hajakua kabisa yaani. sijui ameoa na ana mke?
Mimi nina miaka 38 sasa, msomi wa elimu ya juu na nina kazi nzuri pia, nilikuwa naishi vizuri na wazazi wangu wawili I mean baba na mama, sasa hapa juzi baada ya ugomvi, mama ameondoka nyumbani na kuniambia eti baba nilienae sio baba yangu biological na baada ya kikao kirefu nimeonyeshwa baba mwingine wanaomsema ndio baba biological ila mbele ya watu wote nilimkana na kumwambia asinijue kabisa na wala sitaki kuharibiwa maisha yangu.
Mimi nina baba yangu ambae amenilea na ndio naamini ni baba halisi kwangu, sasa wanakazania DNA mimi nikasema sitaki chochote na nisiingizwe kwenye ugomvi wa wazazi wangu na ninampenda sana baba yangu alienilea kwasababu amenisomesha shule za gharama na amenitembeza duniani na kunipa kila nilichotaka mpaka hapa nilipo namwona kama mtu namba moja muhimu kwangu hapa duniani.
Je waungwana nilichofanya ni makosa?