Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
Nimemiss yale mapenzi ya zamani ile msichana anabeba chakula kwenye hotpot toka kwao hadi getto kwako.
Kazi yako ni kula na kula πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hawa madem wa siku hizi sio romantic kabisa, anachokibeba kutoka kwao ni charger ya smartphone tu, na akija anakuja ana njaa kama mkimbizi wa Burundi! 😁 😁 😁 😁
 
Wa mikoani wanabeba togwa halafu makutano porini au shambani.

Unajinywea zako togwa then unampiga bonge la mtama teh teh mara papuchi mwanuu mzee unajigegedea taratiibu kuku wa kienyeji.

Baada ya mgegedo unamvunjia muwa huyoo anasepa zake.
 
Ila hotpot sio ya zamani ungesema kwenye 'kisufulia' halafu ndani ya ndoo hapo sawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…