Siku hizi mi mlokole. Mambo vipi lakini? Nasikia ulikuja kimya kimya. Kusema kweli hii kitu hii. Mungu ni fundi.He he he he
Kumbe nje ya jukwaa la siasa we ni baazazi mzuri sana.
Ha ha ha ha
Nimecheka sana hapo kwenye tege.
Mkuu, mbona hujajibu PM yangu? Nataka unifundishe somo.Bonge mimi napita tuu...
Mkuu doncute, umenionea wapi Heaven on Earth?Kwanini..?
Tatizo wewe bazazi. Unataka nipite ulipo pita? Hahahaaaa.... Nipe namba yake nimfundishe jinsi ya kuishi na wewe. Vipi ushapata mchuchu mpya?Nataka kuachana na mpenzi wangu naomba nikupe namba umtumie meseji za mapenzi tugombane nimuache.
Asante.
Basi huyu ulikuwa humkati hamu. Inatakiwa aje daily mara mbili tu. Hakikisha ndani ya hizo siku mbili nyege zinaisha. Kwanza ukimpa shughuli kweli kweli utasikia anasema nmechoka hadi viungo vinauma. Unajua anamamisha viongo gani coz wewd mtu mzima. Hawezi kuleta tena viungo vinavyouma, atasubiri siku tatu zipite.Wembamba ni wazuri ila tatizo ukimlalia unahisi kama anaumia maana ni mifupa mitupu..
Niliwahi kuwa na kamoja hako kanapenda show yani daily kanatia timu geto na kakifika hata kama nina shughuli nafanya basi inabidi niache kwanza na show ianze..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]_[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora yako wewe shunie mwenye nyama zako[emoji39][emoji4]
He he he heSiku hizi mi mlokole. Mambo vipi lakini? Nasikia ulikuja kimya kimya. Kusema kweli hii kitu hii. Mungu ni fundi.
Hahahaaa... Yaani umeongea hivo kama namuona nimpendaye. Umesahau hapo halafu awe rough dread. Yaani Mungu ni fundi balaa... Nisaidie kusaka, ukipata wawili nipigie pande.He he he he
Ulokole kwako kama ni wa ndotoni hapo nitakubali.
Mambo safi sana, mjini nipo nimerudi nafukuzana na pesa tu kwa sasa.
Mwanamke kweli akiwa na tege, halafu akawa na kamwanya kwa mbaali halafu akawa na vile vimacho vya kusinzia sinzia halafu anajua kuidekeza dekeza hapo lazima nigawane naye mshahara wangu aisee...
Ha ha ha ha haHahahaaa... Yaani umeongea hivo kama namuona nimpendaye. Umesahau hapo halafu awe rough dread. Yaani Mungu ni fundi balaa... Nisaidie kusaka, ukipata wawili nipigie pande.
Tupo.hivi mkuu figganigga hapa JF kweli kuna vimbaumbau hapa?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka mpk nimesahau drama za bongo movieHahahaaa... Yaani umeongea hivo kama namuona nimpendaye. Umesahau hapo halafu awe rough dread. Yaani Mungu ni fundi balaa... Nisaidie kusaka, ukipata wawili nipigie pande.