Ewiiiiii............
Yanyukweeee..........
Daah, salam wakuu! habare za weekend? kwa wale wa mambo yetu yaleee watakua wanaelewa namaanisha nini hapa. haya basi mtaalam mmoja wa chenja aweke kitu basi tusuuze nyoyo zetu!
Kaka salome nipe shilingi nikanunue soda ninyweeee ×2
Kaka salome nipe shilingi nikanunue soda ninyweeee ×2
Nalilia nini? Nalilia coca kola X2
Sigara za nini mama Nalilia coca cola