Nimemisi tu EMUEMUYU

nivea, usiwaone hawa vijana kirahisi, hawana maana hawa.
Sasa fanya hiviii......come this way
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza njoo uone huyu

Inaniumiza kuona binti kama wewe ukidanganywa,
Si dhamira yangu kukuumiza kwa ukweli huu, lakini afadhali kuumia kidogo sasa ili kupata furaha tele baadae.
 
Last edited by a moderator:
karibu sana EMUEMUYU kaka LD.
wapo mabinti kama nivea wapowapo kama wewe
Heshima nikitu cha bure tafadhali nakuheshimu sana Bigirita wewe uliambiwa nivea yupoyupo??matani yenu kwenye darasa lenu lajioni ni hukohuko huyu ni mamsapu watu usione yupo darasani ukajua ni single lady!Na wewe nivea huwe unajiintroduzi siyo unakaa kaa kimya kama untegeshea kama machangu wastaarabu wanaofanya kwenye mabenk fulani ukiwakuta ddz,mafia longe,samakix2,bilmonte utajua hawafukuzii kumbe wapo mawindoni!Mimi mchezo huo sitaki!
 
Last edited by a moderator:
LD hujambo?... πŸ™‚
 
Last edited by a moderator:
Reactions: LD
Naachana na hili lithredi la LD la kutafuta bachela ( LD hebu jaribu vyuo vikuu wanatoa bachela digiriii nyingi tu)...
Sasa naenda kuweka kambi pm!

Usisahau kubeba mahitaji yako muhimu maana hiyo kambi nayo haitabiriki @RR
 
Reactions: LD

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…