Nimemisi tu EMUEMUYU

Nimemisi tu EMUEMUYU

LD

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
3,014
Reaction score
578
habari zenu jamani, natumaini mpo salama..........
Hata mimi nipo Mungu anasaidia, sijafa jamani hadi leo, nimependelewa nipo.
Wazee shikamooni, wadogo hamjambo, masinia wenzangu mambo vipi?

Ahii mi bado nipo kitaa ndugu zangu, hakuna mtu aliyechoka Ubachela aje tufanye mipango tuishi?

Moderators wote naombeni msihamishe thread yangu, hiyo ndio thread niliyonayo.
 
hahahahahaha.........
kwamba na wewe unatafuta Mchumba??:becky::becky:
ngoja nimtafute FALUJA!

Ahii mi bado nipo kitaa ndugu zangu, hakuna mtu aliyechoka Ubachela aje tufanye mipango tuishi?
 
hahahahahaha.........
kwamba na wewe unatafuta Mchumba??:becky::becky:
ngoja nimtafute FALUJA!

Hapana sio natafuta mchumba, basi tu kwakuwa ni siku nyingi hatujaonana humu nikaona niwape taarifa. Mnawezadhani nilishamiliki bureeeee!!!! bado nipo nipo broo!!!!
 
he he.....umekuwa mkaidi ujue....kwa nini dada mkubwa akikuita huwa huitiki....? tuanzie hapo kwanza......
 
Jamani LD habari za siku tele, nimefurahi kukuona laiv bila chenga.

BTW ulipotelea wapi?
 
Last edited by a moderator:
he he.....umekuwa mkaidi ujue....kwa nini dada mkubwa akikuita huwa huitiki....? tuanzie hapo kwanza......

Ngoja kwanza hivi like bado ipo au imehamishwa? Halafu hii kesi naomba kujua kama ina FAINI kwanza dada angu!!!
Dah.....ni aje Preta.....my God kile kidude cha ku-mention unawekaje tena jamani? hebu nielekeze........
 
dah mambo ya Mike tyson yanaweza fika hadi huku ujue.......ni mimi Lily Flower za siku shoga angu. Nimekumisije sasa?

Siku hizi haitwi Mike anaitwa Michelle ............ mmh kweli ni mwaka na zaidi sijakusoma hata mie nimekumiss mbaya dear
 
Ahii mi bado nipo kitaa ndugu zangu, hakuna mtu aliyechoka Ubachela aje tufanye mipango tuishi?.
Sasa LD hebu come this way hata mie kitaa kimenichosha
 
karibu sana EMUEMUYU kaka LD.
wapo mabinti kama nivea wapowapo kama wewe

ohh....niveae? safi nitamtafuta mbona hamtaki kunifundisha kuweka kile kidude cha mention......ahii
 
ohh....niveae? safi nitamtafuta mbona hamtaki kunifundisha kuweka kile kidude cha mention......ahii
Unataka ufundishwe kuweka kidude?
Sema fasta basi......nipo busy!
 
koma wewe mimi aldready booked by KakaKiiza
Tualia kwanza.......usihamaki.
Unaweza kukosa vitu vizuri hivihivi.

Sasa tuanze na fitna........unajua huyo aliyekubuku ana demu mwenye mimba ya miezi sita? unajua yumo humu kila siku?
Shaurilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom