Nimemharibia rafiki yangu ili niwe na mpenzi wake

Nimemharibia rafiki yangu ili niwe na mpenzi wake

Hamna mpendwa kama kweli alikuwa anateseka we umemtoa kwenye mateso basi heri ila umekosea tu padogo ungekuwa unamshauri rafiki yako akae na mpenziwe vizuri kama bado angekuwa haelewi ndipo ungemchukua
 
Nani alikwambia kuwa kuachana na huyo mwanamke kutafuta kosa la kumzunguka rafiki yako?

Mimi nakushauri uendelee na huyo msichana tuu!
 
Yani adui unataka umfanye rafiki??..we ushaharibu tayari..kwa usalama wako kaa mbali na huyo jamaa..
 
rafiki wa kweli pesa tu, demu nikimpata namzibua akichoka atembeze bupa lake mbele huko
 
na ECONOMETRICS NDO SOMO NINA LIPENDA KUZIDI MASOMO YOTE NDO MAANA NIKAJIITA HIVYO
 
Huyo rafiki yako atakupa unachopewa na huyo demu wako!! Cameroon types.
 
Uzi huu umenikumbusha kibao kimoja kwa tafsiri isiyo sahihi tulikiita "...Eee mayeboo...ya kuporaa.."Ishi ulichokichagua mleta uzi.
 
Ukikaribia kuwa babu kama mie basi utaelewa

Hivi unajua kuwa rafiki ni bora kuliko mwanasesere?
Umenikumbusha mbali. 'Rafiki ni bora kuliko mwanasesere'. Majarida ya Nyangwine hayafundishi hivyo. Hivo vidubwasha vimejaa madukani. Kwenye magari mengi ya masharo vimewekwa kwenye dashboard
 
Bora endelea na demu tu, jamaa hatakuamini tena na hamtaeza kuwa marafiki kama mwanzo tena, ndo ushaharibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom