Nimemharibia rafiki yangu ili niwe na mpenzi wake

Nimemharibia rafiki yangu ili niwe na mpenzi wake

Shortie, you musta missed on the

559fba35e30009c168e99c00e37c997c_400x400.jpeg
 
Hata ID FAKE INAAKISI UHALISIA WAKO.sababu hyo ID ilikuwa ktk fikra zako.kasome kwanza.
 
Utakuwa toka mwanzo ulishaanza kumtamani huyo mpenzi wa rafiki yako
Unadhani huyo dada ana mapenzi ya kweli na na wewe mana kama aliweza kumsaliti mpenzi wake na kutoka na rafiki yake bila aibu wala woga subiria kibuti chako
Jitayarishe kuwakosa wote kwa pamoja ubaki peke yako
 
aa wapi, hapo huniambii kitu mimi wewe kwa uyu demu, alaf inavoonekana una wivu ee?
 
sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea ...
 
Yaan Ulimuonea Huruma alipokuwa Ananyanyasika lakini Leo Hii Unafikiria kumuacha kisa Urudishe Uhusiano na Rafiki Yako? Kwahiyo Rafiki Yako Ikakataa Utamrudia tena Huyo Binti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom