Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,755
Bado hujajua unahitaji kufanya nini pia huna msimamo,pole sana.
Bora endelea na demu tu, jamaa hatakuamini tena na hamtaeza kuwa marafiki kama mwanzo tena, ndo ushaharibu.
Mapenzi hayana umri, ni kipofu na kiziwi, labda kama hujapenda sanaUtoto unashida sana
Mapenzi hayana umri, ni kipofu na kiziwi, labda kama hujapenda sana
Same meaning but different words my lady!Ninachosema ni mapenzi ya kitoto, ambayo vijana wanafanya bila kujielewa na kujitambua.
Mu hali gani wanajukwaa?
Nahisi ukisoma title ya hii thread kidogo utastuka, lakin ukweli ni kwamba;Niliamua kumkandia [kumharibia] rafiki yangu kwa msichana wake ili mimi nimpate, na nilifanya ivo kwa sababu kwanza yule msichana alikuwa na upendo wa dhati lakini alipenda asipopendwa, alikuwa mtu wa kuomba msamaha hata kila anapobebeshwa lawama.
TATIZO yule rafiki yangu, hakuujua umuhimu wa mwanamke,alipenda sana kumlaumu hata kwa kosa dogo anaweza kumsimanga mpaka unamkuta anakosa raha,kwa kutambua anapendwa alimnyanyasa kwa kujua kwamba hawezi kumuacha.
Jambo ambalo lilinifanya nikawa naumia kumuona mtoto mzuri akiteswa ndipo nilipoamua kuingiza swaggz [kumtongoza] na kumshauri aachane na yule bwana wake.
Na mpaka sasa anaishi/tunaishi kwa raha kabisa, sema kuna tatizo ambalo limejitokeza ni kwamba yule rafiki yangu sasa hatuongei nae, ndo nawaza je nivunje penzi langu na huyu demu ili nirudishe urafiki na jamaa yangu au niendeleze mapenzi na msichana urafiki wetu na jamaa ufe?
Ok labda uache usharobaro
Mara nyingi watu kama wewe wana sifa ya kutojiamini na unajiboost self esteem kwa kutongoza wapenzi wa watu wengine. Kama huamini, jichunguze kama huyo mwanamke anakupenda kwa dhati mpaka sasa na kama mtadumu.
Yeye alikufuata kwa kuwa alikosa pa kuegemea na wewe ukajifoji uonekane kidume kuliko jamaa yako. Sasa baada ya kukaa kidogo na Wewe, huyo mwanamke, atakuwa ameanza kunote madhaifu yako ambayo hukuwa umeyaonyesha mwanzoni na pia wewe utakuwa umeanza kuchoka kujifoji na hivyo uhusiano wenu umeanza kuwa boring kwa sababu hamna kinachowaunganisha zaidi ya tukio la huyo mwanamke kumdump jamaa.
Chunguza hata stori zenu kama ziko interesting mkiwa pamoja.
young sharo said:mpaka sasa anaishi/tunaishi kwa raha
Wewe kweli sharo wengine huwa tunaomba kwanza hekima kwa Mungu before kushauri.Kwa hii mada yako wewe bado mtoto.Hata nikikushauri hutaelewa.
Rejea juu mkuu nimekwambia
Uliwah kumshauri tafiki yako kwa vitendo anavyo fanya? Au ilikuwa ni opportunity kwako? Maana usije ukabeba dhambi ya makwazo
Mu hali gani wanajukwaa?
Nahisi ukisoma title ya hii thread kidogo utastuka, lakin ukweli ni kwamba;Niliamua kumkandia [kumharibia] rafiki yangu kwa msichana wake ili mimi nimpate, na nilifanya ivo kwa sababu kwanza yule msichana alikuwa na upendo wa dhati lakini alipenda asipopendwa, alikuwa mtu wa kuomba msamaha hata kila anapobebeshwa lawama.
TATIZO yule rafiki yangu, hakuujua umuhimu wa mwanamke,alipenda sana kumlaumu hata kwa kosa dogo anaweza kumsimanga mpaka unamkuta anakosa raha,kwa kutambua anapendwa alimnyanyasa kwa kujua kwamba hawezi kumuacha.
Jambo ambalo lilinifanya nikawa naumia kumuona mtoto mzuri akiteswa ndipo nilipoamua kuingiza swaggz [kumtongoza] na kumshauri aachane na yule bwana wake.
Na mpaka sasa anaishi/tunaishi kwa raha kabisa, sema kuna tatizo ambalo limejitokeza ni kwamba yule rafiki yangu sasa hatuongei nae, ndo nawaza je nivunje penzi langu na huyu demu ili nirudishe urafiki na jamaa yangu au niendeleze mapenzi na msichana urafiki wetu na jamaa ufe?
Kwanza wewe ujielewi pili huyo msichana nae ajielewi sidhani kama mtadumu subiria maumivu utakayo yapata coz hicho kibinti kinashawishika kirahisi hata me nakuja kukishawishi nikidonyoe afu nakipiga chini ili mradi kinipe tu natumia mbinu zako hizo hizo... najua me unijui sasa subiri mrejesho hapa hapa jamvini