Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,627
ahahahaaa, haya bhana.
Vipi yule aliyekutoroka akarudi na mimba umeachana naye?
ahahahaaa, haya bhana.
Bora endelea na demu tu, jamaa hatakuamini tena na hamtaeza kuwa marafiki kama mwanzo tena, ndo ushaharibu.
Vipi yule aliyekutoroka akarudi na mimba umeachana naye?
Ungekuwa unajielewa ungetafuta mwanamke wako sio kuvizia alie vulnerable ndio umbebe.
Kuna jamaa yangu aliokota mwanamke kwa style kama yako, kumbe hakuwa anamuelewa vizuri. Dada alianza tabia za kumbembeleza ex wake warudiane kwa kuwa amegundua makosa yake blah blah blah. Ex alipokaza uzi, akawa anaomba hata gemu la kirafiki tu. Jamaa yangu alipozipata hizo data kutoka kwa marafiki wa huyo mwanamke, kidogo afe kwa presha.
Jipe muda kidogo, kuna vitu utaanza kuviona kwa vile hamkupata muda wa kufahamiana vyema na bado mmevaa maski.
Mu hali gani wanajukwaa?
Nahisi ukisoma title ya hii thread kidogo utastuka, lakin ukweli ni kwamba;Niliamua kumkandia [kumharibia] rafiki yangu kwa msichana wake ili mimi nimpate, na nilifanya ivo kwa sababu kwanza yule msichana alikuwa na upendo wa dhati lakini alipenda asipopendwa, alikuwa mtu wa kuomba msamaha hata kila anapobebeshwa lawama.
TATIZO yule rafiki yangu, hakuujua umuhimu wa mwanamke,alipenda sana kumlaumu hata kwa kosa dogo anaweza kumsimanga mpaka unamkuta anakosa raha,kwa kutambua anapendwa alimnyanyasa kwa kujua kwamba hawezi kumuacha.
Jambo ambalo lilinifanya nikawa naumia kumuona mtoto mzuri akiteswa ndipo nilipoamua kuingiza swaggz [kumtongoza] na kumshauri aachane na yule bwana wake.
Na mpaka sasa anaishi/tunaishi kwa raha kabisa, sema kuna tatizo ambalo limejitokeza ni kwamba yule rafiki yangu sasa hatuongei nae, ndo nawaza je nivunje penzi langu na huyu demu ili nirudishe urafiki na jamaa yangu au niendeleze mapenzi na msichana urafiki wetu na jamaa ufe?
Mbona una mashaka, kwani we umejipangaje?
Kama unamfahamu huyo dada vizuri na unaamini unampenda kwa dhati endelea nae. Ila kama la muache aende zake. Sababu mtapotezeana muda bure. Ukweli mara nyingi unauma ila ni vema uka uface.
hahaha youn sharo post zako za ukweli yani zinaendana na jina lako...sa hapo jiongezeee mwenyewe..
ukimfanyia mwenzio ubaya na wewe lazma ufanyiwe tu yaan umeshakula umetosheka ndo unakumbuka ujinga wako uliofanya!
wew sio rafik mwema ata kidogo nahis unaweza hata kuvunja ndoa ya rafk yako kwan pilpil usioila yakuwashia nn ilihali ukijua akiongezeka mwngine kati ya wapenz lazma yafe.
mi nataka nibaki na kamanzi na nisiue urafiki na jamaa.
shame on your face, ulion huo upuuzi ni kitu cha maaana sana cha kuandika humu? hujakua bado?
Mu hali gani wanajukwaa?
Nahisi ukisoma title ya hii thread kidogo utastuka, lakin ukweli ni kwamba;Niliamua kumkandia [kumharibia] rafiki yangu kwa msichana wake ili mimi nimpate, na nilifanya ivo kwa sababu kwanza yule msichana alikuwa na upendo wa dhati lakini alipenda asipopendwa, alikuwa mtu wa kuomba msamaha hata kila anapobebeshwa lawama.
TATIZO yule rafiki yangu, hakuujua umuhimu wa mwanamke,alipenda sana kumlaumu hata kwa kosa dogo anaweza kumsimanga mpaka unamkuta anakosa raha,kwa kutambua anapendwa alimnyanyasa kwa kujua kwamba hawezi kumuacha.
Jambo ambalo lilinifanya nikawa naumia kumuona mtoto mzuri akiteswa ndipo nilipoamua kuingiza swaggz [kumtongoza] na kumshauri aachane na yule bwana wake.
Na mpaka sasa anaishi/tunaishi kwa raha kabisa, sema kuna tatizo ambalo limejitokeza ni kwamba yule rafiki yangu sasa hatuongei nae, ndo nawaza je nivunje penzi langu na huyu demu ili nirudishe urafiki na jamaa yangu au niendeleze mapenzi na msichana urafiki wetu na jamaa ufe?
Hivi ukufikiri kabla ya kutenda