Mkumbavana
Member
- Jan 24, 2012
- 79
- 22
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
mjinga mwenzakeSafi Sana! Kama Vp Vuta Kingine!!
mjinga mwenzake
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi, Mkumbavana, mkeo yuko getto kwangu, nilikutana naye njiani analia hajui kwa kwenda. Tatizo chumba changu ni kimoja tu, ikabidi tubanane hivyohivyo, mbaya zaidi umemtimua akiwa hajavaa kufuli, halafu down stairs alikuwa ana msitu mzito kuliko wa Mabwe Pande, nimevyeka msitu woteToka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
hataki msaada anataka kusifiwaTukusaidiaje labda mkuu?
kwani we si ndo ulikuwa unamnyima ilikuwaje tena ukadai,we ulivokuwa unakimbilia bar?
Safi sana wewe. Yaonekana dhahiri hukuoa mke wa kufa na kuzikana ila ulinunua shama la kilimo kwanza. Kwa mwendo huo katu hutadumu kuishi na mwanamke mmoja, kwani kila utakayeishi naye lazima akubali kuwa shamba halali la jembe kulimwa kila mkulima mnunuzi wa shamba hilo atakapo, iwe katika uzima au ugonjwa, iwe akiwa tayari au la. Unadhani wanawake hawana hisia katika mapenzi? Ndo tatizo la madot com kufikiri kila kitu kwa kufananisha na internet. Labda kama unaleta story kufurahisha wasomaji, lakini umeboa sana. Mapenzi ni ya watu wawili, sio hati miliki ya mwanaume.Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.