Nimemfotoa mjeda mzungu leo!

Hamu ya vitu vizito vyenye ncha kali inakusumbua mkuu,waachie wenyewe aya mambo.
 
Hii nchi wageni wanajiachia sana wakati wazawa tunasota sana!hivi huu utumwa wa fikra utaisha lini?

Nafikiri utumwa wa fikra unao wewe, kwani kuna tatizo gani mwanajeshi mgeni kuemdesha gari la JWTZ? Hao utakuta ni ma expert kwenye masuala ya kijeshi na Serikali yako imewaomba waje kufundisha. Tengeneza maisha yako na wewe utajiachia mbona wa TZ wengi wana maisha ya kujiachia.
 
Pichani hapa chini, upande wa kushoto ni wale askari walioruka na parachute siku ya sherehe za muungano pale zanziba.
Na hao wa kushoto ni wanajeshi 'wazungu' ambao waliwawezesha hao wabongo kuruka. katikati ni msanii Mrisho Mpoto.
Mbona huyo mjeda yupo Peku au ruksa.?
 

Jf is a platform where we dare to talk openly. Vitisho vinatoka wapi tena humu?
 
Wewe acha kutisha watu. Eti system.
 
Kuna wanajeshi wengi kutoka nje, wapo nchini kutoa mafunzo mbalimbali kwa jeshi letu,kuna wachina walikuwepo kutoa mafunzo ya urubani kwa wanajeshi wetu,wajerumani huja mara nyingi nao,wote hao hutumia magari ya mwenyeji wao ambao ni JWTZ,Hakuna shida mkuu...
 
Hivi ni sahihi mjeshi mzungu kuendesha gari ya JWTZ?

Hizo ni plate namba tu, lakini linabaki kuwa ni chombo cha usafiri. Na yeye alikuja hapa kwa shughuli hizo za jeshi ulitaka atumie usafiri gani?

Labda sana ungenambia umemwona na kifaru cha mizinga mtaani ningeshtuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…