===Kumbe huwa mnawachezea na kuwavunjia heshima wagonjwa wa kike mnaowafanyia upasuaji!
Sema hakuna Dr ninayemfahamu asiye na siri!Kuna visharobaro vimekua ma Dr vinaongea upuuzi wakiwa bar hadi unashangaa,kila fani imevamiwaAcha uongo wewe,kama unadhan kutumia jina la dokta humu JF ndo utampata wanawake umejidanganya.
Hakuna dokta asiye na siri kama wewe. Hujui miiko ya kidokta. Usichafue fani za watu
Acha uongo wewe,kama unadhan kutumia jina la dokta humu JF ndo utampata wanawake umejidanganya.
Hakuna dokta asiye na siri kama wewe. Hujui miiko ya kidokta. Usichafue fani za watu
Nadhani hujamwelewa.Kumbe huwa mnawachezea na kuwavunjia heshima wagonjwa wa kike mnaowafanyia upasuaji!
====Kumbe ndo zenu eeh...angekua humjui ungemchezea
====Acha uongo wewe,kama unadhan kutumia jina la dokta humu JF ndo utampata wanawake umejidanganya.
Hakuna dokta asiye na siri kama wewe. Hujui miiko ya kidokta. Usichafue fani za watu