Nimemchoka sana mama yangu

Nimemchoka sana mama yangu

Na wewe akubariki sana ila sasa hivi kipaumbele chako iwe ni kutumia masaa yako chungu nzima kwa siku kuapply kazi sehemu mbali mbali ambazo wanaajiri. Usichoke wala kukata tamaa Mungu atakusaidia.

Asanteni wapendwa.Mungu awabariki sana
 
She is 40 and am 22
Inawezekana mama yako aliteseka sana, kutukanwa na kunyanyaswa alipokuzaa wewe kwani alikuwa na 18 years tu. Hii ilisababisha yeye kukuchukia wewe kwani ulikuwa sababu ya matatizo yake.
Mngekaa pamoja mkaongea ana kutesa sana.
 
aliyefariki ni mamamdgo wangu
Hapo sawa nilikuwa sijakupata uzuri ndio dunia hii kuna mtunzi maarufu aliandika
Hasidi ale ngano kwa swamli na vimanda vya mayai
Awe na taa za kandili fanusi na karabai
Atahusudu moshi ya koroboi unaotoka kwa masikini
Hasidi avae silki hariri na melimeli
Awe na yakuti almasi na johari
Na dhahabu tele zimejaa vidoleni
Ata husudu kidani cha shaba kilichopo
Shingoni mwa masikini
Hasidi humuhusudu alie mtoa tumboni.
 
Habari zenu wapendwa,

Mimi ni msichana niliyemaliza chuo lakini natafuta kazi. Naishi na wazazi wangu na wadogo zangu wa kike ambao nawapenda sana. Nimekulia na kulelewa na bibi sana na mama mdgo ambao wote walikua wapole na wakarimu ila mama mdogo alitangulia mbele ya haki.

Nilimpenda sana mamdogo kuliko mama yangu mzazi kwasababu alinipenda na kuchukua nafasi ya mzazi wangu na ndiye aliyeniambia mume wake mama siyo baba yangu mzazi ( ila ni baba yao wadogo zangu ) nikiwa darasa la sita.
Niliumia sana kwasababu mama yangu alikuwa hana time kabisa kunieleza hayo. Hapo form one ndo nikaanza kuishi na mama yangu ila jamani ni mkali kwangu adi naliaga. Kuna siku nilimuuliza mama mdgo kama huyu kweli ni mama yangu mzazi au la akasema ndo mamako.

My mum hana ukaribu na mimi, ananifokea kila wakati bila hata sababu. Hanaga shukrani in anything i do. Uzuri darasani nilikua nafanya vzuri sana nikishuka position kidgo atafoka likizo nzima. Nilikua nashika nafasi ya nne nikiwa naongoza wasichana ila nikiwa tu wa tano ataongea likizo nzima.

Anavyokuwa ananiangalia, utafikiri yeye ndo mama yangu wa kambo hata akipiga honi ya gari getini nikiwa tu nje nilikua nakimbilia chooni. Anyway namshukuru kwasababu yeye ndo aliyenisomesha. (japo ni wajibu wake).

Tatizo ni pale mama anavyokuwa hana mother to daughter love au affection. Hajali what I do. Naweza kumuomba hela anakuwa mkali mpaka namwambia basi mama natafuta njia napata na haulizi ila wadogo zangu wanapewa hata extra. Mimi sijawahi kununuliwa simu na mama ila wao wananunuliwa tena mimi ndo namsindikizaga mama kununua na haniulizi mimi napata wapi simu.

Nikitaka tuongee labda angalau nimwambie kitu kinachonisumbua au just kupata faraja ya mama anaongea kwa ukali kwamba kachoka au bwanae ondoka ila roho inaniumaga. Marafiki zangu wanavyoongelea mama zao huwa nawatazama na kuwatamani.

Nyumbani kuna mfanyakazi lakini kazi zote nafanya mimi na mama humtetea dada na kusema mimi sina umuhimu ndani wakati kutwa nzima mimi ndo najishughulisha ila nakaaga kimya hadi nikiwa chuo nikija kusalimia huwa hataki niondoke ili nifanye kazi. Nikimwambia mama nina test atasema bwanae kwani wewe wa kwanza kusoma mpaka nakosa raha nikiwa chuo nakuwaga very lonely na mawazo. Sikufanikiwa kupata mkopo wala hela ya matumizi hvyo nilikua nahudumiwa na mama. Aisee sitokuja kusahau mateso niliyopata chuo.

Nimelala hungry nights mpaka ilibidi nizoee. Hapo ndo nikaona nitakufa nikaanza mahusiano na wanaume kisa nipate hela. Hapo mama uwezo anao wakunisaidia lakini anasema hana hela nitafute wanaume tena kwa ukali.

Anyway nilipunguza ukaribu na mama hata upendo kwasababu nilijaribu kuwa karibu nae nipate mapenzi ya mama lakini nikashindwa. Afu yeye ndo anasema nina roho mbaya, sina upendo kama wadogo zangu. Ninamwangalia tu kwasababu najua yeye ndo hanipendi. Na anasema hivyo kwasababu anawasikiliza sana yuko karibu nao but she pushes me away yaani utafikiri niliokotwa.

Kuna wakati huwa natamani niolewe ila ndoa ina majanga yake pia na sina hata mtu. Na hali ya mama imenifanya nikose upendo kwa watu wengne niponipo tu all alone. Kuna wakati nakaa tu na kulia na kinachoniuma nikiwa 7 yrs nilishawahi kubakwa kijijini kwa bibi na mfanyakazi ila sijawahi kumwambia mama wala mtu yeyote.

Watu watakua wanajiuliza mbona sitaji baba. Baba yangu ana familia yake mkoani na alishasahau kama ana mtoto. Baba yangu wa kambo yupoyupo tu but sana sana anawajali wanae ila hainiumizi roho. Ninachomuomba Mungu niondoke nipate kazi hata mkoani mbali na mama yangu.

NB. Wazazi wa hivi especially wamama jaribu kuweni karibu na watoto wenu kuweni na upendo. Mimi siwezi elezea kila kitu hapa ila umuhimu wa mamangu ni kunisomesha tu tena kwa maneno namshukuru sana kwa hilo.

Wapendwa sjui mtanisaidiaje but nimevumilia sana ni mama yangu huyo ndo maana wengne hukimbia kwao au kutaka ndoa haraka ili waondoke makwao.

Wazazi badilikeni tafadhali.
Ha ha pole
 
Kwanza shukuru kuwa na mama,hatakama yupo kama alivyo cha poli ww kwa sasa ni mtu mzima fanya mambo yako acha kupoteza muda kuwaza mbona hanipendi……oohh sijui nini, kukupenda au kutokupenda ni hiyari yake sio lazima,pia yawezakuwa wewe mwenyewe unatatizo.
 
This is what I feel regarding your story; yaelekea mama yako alichukua mimba kwa mtu aliyempenda sana and then akam disappoint kwa either kukataa mimba au kumtelekeza na au mama alichukua mimba yako bila kutarajia and hence wakati anachumbiwa na huyo baba yako wa kufikia may be alipewa some conditions kukuhusu wewe and may be huenda ilikua kidogo huyo baba yako wa kufikia asingemuoa mama yako because of you; maadamu umeisha someshwa hadi chuo basi huna budi kumshukuru mama yako mzazi, mamamdogo na hata huyu baba yako wa kufikia (sipendi kutumia baba wa kambo). All in all ni hivi, katika maisha watu hatufanani, wengine walii enjoy mapenzi ya mama zao/wazazi ili hali wewe hali hiyo ulii I miss but kama na wao ungewasikiliza on the other page huenda kuna vitu ambavyo hawakua wana enjoy hapa duniani ili hali wewe una enjoy navyo; nakushauri hivi, ikubali hali hiyo na isikuchukulie muda, remember moyo wako ni mdogo sana ku handle all of those things yaani umfikirie mama na mumewe, ufikilie maisha yako ya baadae, ufikirie kutafuta kazi and may be (with your age) ufikirie walio ku approach nani anafaa kua baba wa watoto wako etc. Nakushauri hivi, "Forgive, Forget and Songa mbele na maisha"
Story yako imenisikitisha but please ipokee kama ilivyo, duniani hatufanani; Huwezi jua may be hata mtoto wa rais kuna mambo hua yanamsikitisha, moyo wa mtu ni msitu.
 
Mleta mada pleased.......hope namba ya kama yako pm nimtolee uvivu....kama mbali mbwayi tuu. $$@[HASHTAG]#sitakagi[/HASHTAG] ujinga mimi alaaaaa#$@$#
 
Habari zenu wapendwa,

Mimi ni msichana niliyemaliza chuo lakini natafuta kazi. Naishi na wazazi wangu na wadogo zangu wa kike ambao nawapenda sana. Nimekulia na kulelewa na bibi sana na mama mdgo ambao wote walikua wapole na wakarimu ila mama mdogo alitangulia mbele ya haki.

Nilimpenda sana mamdogo kuliko mama yangu mzazi kwasababu alinipenda na kuchukua nafasi ya mzazi wangu na ndiye aliyeniambia mume wake mama siyo baba yangu mzazi ( ila ni baba yao wadogo zangu ) nikiwa darasa la sita.
Niliumia sana kwasababu mama yangu alikuwa hana time kabisa kunieleza hayo. Hapo form one ndo nikaanza kuishi na mama yangu ila jamani ni mkali kwangu adi naliaga. Kuna siku nilimuuliza mama mdgo kama huyu kweli ni mama yangu mzazi au la akasema ndo mamako.

My mum hana ukaribu na mimi, ananifokea kila wakati bila hata sababu. Hanaga shukrani in anything i do. Uzuri darasani nilikua nafanya vzuri sana nikishuka position kidgo atafoka likizo nzima. Nilikua nashika nafasi ya nne nikiwa naongoza wasichana ila nikiwa tu wa tano ataongea likizo nzima.

Anavyokuwa ananiangalia, utafikiri yeye ndo mama yangu wa kambo hata akipiga honi ya gari getini nikiwa tu nje nilikua nakimbilia chooni. Anyway namshukuru kwasababu yeye ndo aliyenisomesha. (japo ni wajibu wake).

Tatizo ni pale mama anavyokuwa hana mother to daughter love au affection. Hajali what I do. Naweza kumuomba hela anakuwa mkali mpaka namwambia basi mama natafuta njia napata na haulizi ila wadogo zangu wanapewa hata extra. Mimi sijawahi kununuliwa simu na mama ila wao wananunuliwa tena mimi ndo namsindikizaga mama kununua na haniulizi mimi napata wapi simu.

Nikitaka tuongee labda angalau nimwambie kitu kinachonisumbua au just kupata faraja ya mama anaongea kwa ukali kwamba kachoka au bwanae ondoka ila roho inaniumaga. Marafiki zangu wanavyoongelea mama zao huwa nawatazama na kuwatamani.

Nyumbani kuna mfanyakazi lakini kazi zote nafanya mimi na mama humtetea dada na kusema mimi sina umuhimu ndani wakati kutwa nzima mimi ndo najishughulisha ila nakaaga kimya hadi nikiwa chuo nikija kusalimia huwa hataki niondoke ili nifanye kazi. Nikimwambia mama nina test atasema bwanae kwani wewe wa kwanza kusoma mpaka nakosa raha nikiwa chuo nakuwaga very lonely na mawazo. Sikufanikiwa kupata mkopo wala hela ya matumizi hvyo nilikua nahudumiwa na mama. Aisee sitokuja kusahau mateso niliyopata chuo.

Nimelala hungry nights mpaka ilibidi nizoee. Hapo ndo nikaona nitakufa nikaanza mahusiano na wanaume kisa nipate hela. Hapo mama uwezo anao wakunisaidia lakini anasema hana hela nitafute wanaume tena kwa ukali.

Anyway nilipunguza ukaribu na mama hata upendo kwasababu nilijaribu kuwa karibu nae nipate mapenzi ya mama lakini nikashindwa. Afu yeye ndo anasema nina roho mbaya, sina upendo kama wadogo zangu. Ninamwangalia tu kwasababu najua yeye ndo hanipendi. Na anasema hivyo kwasababu anawasikiliza sana yuko karibu nao but she pushes me away yaani utafikiri niliokotwa.

Kuna wakati huwa natamani niolewe ila ndoa ina majanga yake pia na sina hata mtu. Na hali ya mama imenifanya nikose upendo kwa watu wengne niponipo tu all alone. Kuna wakati nakaa tu na kulia na kinachoniuma nikiwa 7 yrs nilishawahi kubakwa kijijini kwa bibi na mfanyakazi ila sijawahi kumwambia mama wala mtu yeyote.

Watu watakua wanajiuliza mbona sitaji baba. Baba yangu ana familia yake mkoani na alishasahau kama ana mtoto. Baba yangu wa kambo yupoyupo tu but sana sana anawajali wanae ila hainiumizi roho. Ninachomuomba Mungu niondoke nipate kazi hata mkoani mbali na mama yangu.

NB. Wazazi wa hivi especially wamama jaribu kuweni karibu na watoto wenu kuweni na upendo. Mimi siwezi elezea kila kitu hapa ila umuhimu wa mamangu ni kunisomesha tu tena kwa maneno namshukuru sana kwa hilo.

Wapendwa sjui mtanisaidiaje but nimevumilia sana ni mama yangu huyo ndo maana wengne hukimbia kwao au kutaka ndoa haraka ili waondoke makwao.

Wazazi badilikeni tafadhali.
That is typical hitting back daughter for the fault her father's rejection of the pregnancy, rejection of marrying the mother due to unwanted pregnancy and the mothers' refusal to abort[may be].
Cha msingi hapa ni kuendelea kustahimili hadi hapo utakapoanza kujitegemea. Tena uwe muangalifu sana maana kwenye hali kama yako ni rahisi kwako kuingia mtegoni kwa mkware ambaye anaweza jitokeza kukusaidia ili nawe umsaidie. Mwisho wa hadithi nawe ni kujikuta na unwanted pregnancy na kuchukia wanaume wote duniani.
 
hii story ni kama vile unaelezea maisha yangu kwa upande mwingine...
my late mama mdogo loved me so much kuliko mama,hadi leo hii hua najiuliza kama huyu mama kanizaa mimi....
nimeamini it takes both parents to have a one happy family...
my parents hawalali one room kitambo and that explains a lot why mum takes all her anger on me,kila nachofanya anaona kibaya...
i understand why she is being like that ndomana now nataka nisepe maybe in time she will realise that something is wrong with her and not me...
 
Back
Top Bottom