Njoo nikuhifadhi mtoto mzurihii story ni kama vile unaelezea maisha yangu kwa upande mwingine...
my late mama mdogo loved me so much kuliko mama,hadi leo hii hua najiuliza kama huyu mama kanizaa mimi....
nimeamini it takes both parents to have a one happy family...
my parents hawalali one room kitambo and that explains a lot why mum takes all her anger on me,kila nachofanya anaona kibaya...
i understand why she is being like that ndomana now nataka nisepe maybe in time she will realise that something is wrong with her and not me...
Jamani mimi uvumilivu wa kufanyiwa mambo ya kipuuzi sina na siangalii umri wala mtu,mungu ndio anahukumu kwa haki mimi mama yangu ananijua namuheshimu lakini akiniletea habari za ajabu ajabu namchana laivu kinoma noma na kwakua anafanyaga kweli makosa au kunikosea hua anaelewa na baadae tunaanza kuongea vizuri.Ila sasa hivi ameacha maana ameona hazinitoshi,na angeleta habari za kunimwagia radhi ningemrekodi na kushare kwenye wasap ili dunia nzima imchungulie
NB;mzazi akikosea harafu ukamwambia ukweli akakasirika na kukuvulia nguo usipate tabu wala usiwe na wasi wasi we mrekodi harafu share kwenye wasap ili achunguliwe dunia nzima maana atakua anataka kuchunguliwa



umenifanya nistop kulia kwa muda...nimcheka lolHahaha balaa lako ni kama sheikh aliyelishwa nguruweJamani mimi uvumilivu wa kufanyiwa mambo ya kipuuzi sina na siangalii umri wala mtu,mungu ndio anahukumu kwa haki mimi mama yangu ananijua namuheshimu lakini akiniletea habari za ajabu ajabu namchana laivu kinoma noma na kwakua anafanyaga kweli makosa au kunikosea hua anaelewa na baadae tunaanza kuongea vizuri.Ila sasa hivi ameacha maana ameona hazinitoshi,na angeleta habari za kunimwagia radhi ningemrekodi na kushare kwenye wasap ili dunia nzima imchungulie
NB;mzazi akikosea harafu ukamwambia ukweli akakasirika na kukuvulia nguo usipate tabu wala usiwe na wasi wasi we mrekodi harafu share kwenye wasap ili achunguliwe dunia nzima maana atakua anataka kuchunguliwa
Lady Jay pole sana ujumbe wako umenitoa machozi maana naisi Mimi nawewe hii historia inafanana kuna wakati nasema bola walio yatima wana jua hawana wazazi wana amani Mimi naelewa inatesa sana hii imepelekea kuzaa Na kuwa single mother maana unajikuta unajiingiza katika mahusiano bila kutalajia pole mamy Mungu yupo mapito hayo bado nayapitia Mimi pia sina mapenzi Na mama yangu hata kidogo katika maisha sikuwahi kuipata upendo,furaha, najikuta napenda mama Wa wenzangu najisahau kama sio Wa kwangu Kiukweli sina upendo Na mama wala baba mama Na baba wanachukiana sana nimejikuta nampenda babu yangu bila babu nisingesoma Leo ata la kwanza Mimi nilitupwa kwenye kapu nje Na mwezi mmoja my dear mengine hatuwez kuyasema ndomana naangaika nisake kazi niondoke Mimi ata line nitabadiliHabari zenu wapendwa,
Mimi ni msichana niliyemaliza chuo lakini natafuta kazi. Naishi na wazazi wangu na wadogo zangu wa kike ambao nawapenda sana. Nimekulia na kulelewa na bibi sana na mama mdgo ambao wote walikua wapole na wakarimu ila mama mdogo alitangulia mbele ya haki.
Nilimpenda sana mamdogo kuliko mama yangu mzazi kwasababu alinipenda na kuchukua nafasi ya mzazi wangu na ndiye aliyeniambia mume wake mama siyo baba yangu mzazi ( ila ni baba yao wadogo zangu ) nikiwa darasa la sita.
Niliumia sana kwasababu mama yangu alikuwa hana time kabisa kunieleza hayo. Hapo form one ndo nikaanza kuishi na mama yangu ila jamani ni mkali kwangu adi naliaga. Kuna siku nilimuuliza mama mdgo kama huyu kweli ni mama yangu mzazi au la akasema ndo mamako.
My mum hana ukaribu na mimi, ananifokea kila wakati bila hata sababu. Hanaga shukrani in anything i do. Uzuri darasani nilikua nafanya vzuri sana nikishuka position kidgo atafoka likizo nzima. Nilikua nashika nafasi ya nne nikiwa naongoza wasichana ila nikiwa tu wa tano ataongea likizo nzima.
Anavyokuwa ananiangalia, utafikiri yeye ndo mama yangu wa kambo hata akipiga honi ya gari getini nikiwa tu nje nilikua nakimbilia chooni. Anyway namshukuru kwasababu yeye ndo aliyenisomesha. (japo ni wajibu wake).
Tatizo ni pale mama anavyokuwa hana mother to daughter love au affection. Hajali what I do. Naweza kumuomba hela anakuwa mkali mpaka namwambia basi mama natafuta njia napata na haulizi ila wadogo zangu wanapewa hata extra. Mimi sijawahi kununuliwa simu na mama ila wao wananunuliwa tena mimi ndo namsindikizaga mama kununua na haniulizi mimi napata wapi simu.
Nikitaka tuongee labda angalau nimwambie kitu kinachonisumbua au just kupata faraja ya mama anaongea kwa ukali kwamba kachoka au bwanae ondoka ila roho inaniumaga. Marafiki zangu wanavyoongelea mama zao huwa nawatazama na kuwatamani.
Nyumbani kuna mfanyakazi lakini kazi zote nafanya mimi na mama humtetea dada na kusema mimi sina umuhimu ndani wakati kutwa nzima mimi ndo najishughulisha ila nakaaga kimya hadi nikiwa chuo nikija kusalimia huwa hataki niondoke ili nifanye kazi. Nikimwambia mama nina test atasema bwanae kwani wewe wa kwanza kusoma mpaka nakosa raha nikiwa chuo nakuwaga very lonely na mawazo. Sikufanikiwa kupata mkopo wala hela ya matumizi hvyo nilikua nahudumiwa na mama. Aisee sitokuja kusahau mateso niliyopata chuo.
Nimelala hungry nights mpaka ilibidi nizoee. Hapo ndo nikaona nitakufa nikaanza mahusiano na wanaume kisa nipate hela. Hapo mama uwezo anao wakunisaidia lakini anasema hana hela nitafute wanaume tena kwa ukali.
Anyway nilipunguza ukaribu na mama hata upendo kwasababu nilijaribu kuwa karibu nae nipate mapenzi ya mama lakini nikashindwa. Afu yeye ndo anasema nina roho mbaya, sina upendo kama wadogo zangu. Ninamwangalia tu kwasababu najua yeye ndo hanipendi. Na anasema hivyo kwasababu anawasikiliza sana yuko karibu nao but she pushes me away yaani utafikiri niliokotwa.
Kuna wakati huwa natamani niolewe ila ndoa ina majanga yake pia na sina hata mtu. Na hali ya mama imenifanya nikose upendo kwa watu wengne niponipo tu all alone. Kuna wakati nakaa tu na kulia na kinachoniuma nikiwa 7 yrs nilishawahi kubakwa kijijini kwa bibi na mfanyakazi ila sijawahi kumwambia mama wala mtu yeyote.
Watu watakua wanajiuliza mbona sitaji baba. Baba yangu ana familia yake mkoani na alishasahau kama ana mtoto. Baba yangu wa kambo yupoyupo tu but sana sana anawajali wanae ila hainiumizi roho. Ninachomuomba Mungu niondoke nipate kazi hata mkoani mbali na mama yangu.
NB. Wazazi wa hivi especially wamama jaribu kuweni karibu na watoto wenu kuweni na upendo. Mimi siwezi elezea kila kitu hapa ila umuhimu wa mamangu ni kunisomesha tu tena kwa maneno namshukuru sana kwa hilo.
Wapendwa sjui mtanisaidiaje but nimevumilia sana ni mama yangu huyo ndo maana wengne hukimbia kwao au kutaka ndoa haraka ili waondoke makwao.
Wazazi badilikeni tafadhali.
Ningumu sana mgesa wote niyametukuta ngumu Mimi kiukweli mama ,baba sina mapenzi naoPole sana!
Kutakua na story nyuma ya kuzaliwa kwako... Wazazi wengine wanahamishia chuki na hasira kwa watoto.
Tafuta kazi ukipata hama hapo kajitegemee... Ipo siku mama yako atajirudi tu. Jaribu kumpenda hivyohivyo alivyo.
Mungu ndo amekukea kukufikisha hapo! Mtumaini yeye!
Yeah inauma sana maumivu yake hayaelezekiKiukweli inauma sana na kama kunakidonda kinacholeta maumivu moyoni basis ni hiki....kupoteza au kutokupata penzi la wazazi...daima tunaamini mama au Baba ndio wenye mpnz ya dhati... Wao mapnz yao ni kama titi lilojaa utamu ambao huupati kwenye maziwa asali wala choculate au sehemu nyingine yoyote ileee....ni pnz hili linalofanya hata kama umezaliwa kwenye familia maskini kama Mimi uridhie hali ilee au ulale na njaaa utaona kawaida kabisa....kwasababu pnz LA dhati, adhimu na adimu umelikumbatia na kuliishi moyoni mwako!!!... Nakushauri njia pekeee ya kuondonakana na hali ya upweke ni kutafuta marafiki kama sio mitaani basi rudi kwenye dinii yako. Angalau utapata MTU ambaye utashare Naye maumivu haya yootee kwasababu kunaathari kubwa mno ya kuwa na mawazo mfululizo. Kwako na kwa kizazi chako. Kuwa makini sana juu ya hilo sii jambo LA kawaida kabisa. Mungu akusaidie upite salama kwenye bonde hili ngumu na lenye mtihani... Ubarikiwe.
Pole.. Huyo atakuwa na hasira na baba ako so ndo anazimalizia kwako...
mmmh makubwa!Lady Jay pole sana ujumbe wako umenitoa machozi maana naisi Mimi nawewe hii historia inafanana kuna wakati nasema bola walio yatima wana jua hawana wazazi wana amani Mimi naelewa inatesa sana hii imepelekea kuzaa Na kuwa single mother maana unajikuta unajiingiza katika mahusiano bila kutalajia pole mamy Mungu yupo mapito hayo bado nayapitia Mimi pia sina mapenzi Na mama yangu hata kidogo katika maisha sikuwahi kuipata upendo,furaha, najikuta napenda mama Wa wenzangu najisahau kama sio Wa kwangu Kiukweli sina upendo Na mama wala baba mama Na baba wanachukiana sana nimejikuta nampenda babu yangu bila babu nisingesoma Leo ata la kwanza Mimi nilitupwa kwenye kapu nje Na mwezi mmoja my dear mengine hatuwez kuyasema ndomana naangaika nisake kazi niondoke Mimi ata line nitabadili