Nimemaliza chuo Jana, huu ndio mtaji wangu...

Nimemaliza chuo Jana, huu ndio mtaji wangu...

Ukipata dell hapo unachukua tikiti zako mbili kazi inaanza Cha msingi uwe na uma na raba simple kifupi we ni future billionaire
 
😂😂😂😂unadhani utoto?walivyokuwa wanapewa boom walikuwa hawatuelewi wenzao tunavyokula rhumba
Hayo mambo naweza pata hasira nikapiga mtu mimi akiniambia hizo habari ujue
 
Tafuta odds 10 itakuwa 70k, kisha 10 nyingine, hivyo itafika mpaka bilioni.
 
Kwa
Amaa kweli kuwa uyaone...
Huu ndio mtaji wangu ambao utabadilisha maisha Yangu.

Hii ni elfu Saba za kitanzania
Nipeni mbinu za kukuza mtaji wangu wakuuView attachment 3393665
Kwa Af saba,

Fanya nauli,

Nenda kwa wajenzi wa barabara za mwendo kasi ufanye kibarua.

Baada ya mwezi, akili itakaa pahala pake na utajua la kufanya.
 
Back
Top Bottom