Nimemaliza chuo Jana, huu ndio mtaji wangu...

Nimemaliza chuo Jana, huu ndio mtaji wangu...

Pesa sio issue kwakuwa Even if you could a lot of money bado mambo hubadilika Ila fikiria how to use skills in making life and money .
Sahihi kila kitu ni mindset skills na effective displine
Aliwai kusema gwajima watu wote tukianza moja bila hela hapa duniani Kuna watakao kuwa masikini vile vile na Kuna watakao kuwa matajiri vile vile.

So ahsante sana kwa ushauri
 
Da
Hio pesa nyingi sana.
Maisha sio mtaji au connection but ni akili yako.
Huo msingi tosha wa kuuzia karanga anza na kilo moja

Unaweza tumia computer
Ndio naweza, nilisoma VETA computer application
Naweza kutumia
Microsoft word
Microsoft excel
Microsoft publisher na power point.

Mengine naweza kujifunza u-tube ili kuongeza ufanisi na uzoefu Zaidi.

Kama ipo ndani ya uwezo wako naomba unisaidie mkuu
 
uwe unatokea maisha bora
asingebaki na afsaba mkuu hao wamebaki na kama dola mia tano bank na mfkon laki mbili kwenye simu milion na mkononi wana ticket kwenda sauz kupumzika kabla hawajaanza kudraivu uelekeo wa kampuni za mshua kupata training fupi washike madaraka wawe wanalipwa m3 huku wakiwa na apatimenti zao near town,,,uyu mwenzangu namie jembe linamwita huku mlangali aje achomeke na jua kwelikweli
 
Da



Ndio naweza, nilisoma VETA computer application
Naweza kutumia
Microsoft word
Microsoft excel
Microsoft publisher na power point.

Mengine naweza kujifunza u-tube ili kuongeza ufanisi na uzoefu Zaidi.

Kama ipo ndani ya uwezo wako naomba unisaidie mkuu
Poa upo dsm sehemu gani
 
Back
Top Bottom