First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,484
- Thread starter
-
- #21
wa bia lakini, sio wa soda. Hakuna mlevi wa soda anaeweza kwend mwendo sawa na mlevi wa bia... Kubali usikubali, bisha usibishe lakini ukweli utabakia palepale.Sasa wewe ushasema mlevi alafu unaongelea habari za soda tena!!?Majibu unayo mwenyewe
kwanza swali langu liliuliza kwa nini bia inayolewesha mtu hunywa nyingi wakati hiyo soda kumi unazokunywa wewe huyo huyo mlevi hawezi kuzidisha tatu ingawa haileweshi. Huoni kama ulibaka hoja? Mhh ff!
kweli mwalimu akiwa na wanafunzi 10 kama wewe darasani anaweza kuomba uhamisho. Na kukufafanulia kote lakini ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu? Khaaa!Wewe hili umelitoa kanisani la kunywa pombe kwa hiyo lirudishe huko, si wote hapa watu wa kanisani, au lipeleke jukwaa la dini likajadiliwe kwa kina.Nimeshakuambia kufananisha Beer na Soda ni kama kufananisha Embe na Chungwa, upo hapo ulipo?
sasa mbona wanakunywa bia 10 na bado anaagiza? Niambie reasons.Kunywa soda tatu kama utacmama kwa uhuru!!
Sorry. Sijaona uhusiano uliopo kati ya TITLE na CONTENT ya post yako............ naomba unieleweshe kabla sijachangia.... Huwa sipendi kuchangia kitu nisichokielewa..Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!
congratulation sana!! Umefanya maamuzi ya busara!!Ni hivi kanisani wakati Rev akihubiri kuna point alitaja lilinivutia, akauliza wapendwa ambao kabla hawajajiunga na Imani walikuwa walevi, akasema ni wangapi ambao walikuwa na uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano? wakanyoosha watu kibao!Haohao akawauliza je, kati yao kuna mtu ambae ana uwezo wa kunywa soda nne? Hakunyoosha hata mmoja!!Swali linakuwa hivi, kama mtu anaweza kunywa bia 500mil na inalewesha kama tano na zaidi, kwa nini ashindwe kunywa soda 350mil isiolewesha hata 3?Hope umenipata.Sorry. Sijaona uhusiano uliopo kati ya TITLE na CONTENT ya post yako............ naomba unieleweshe kabla sijachangia.... Huwa sipendi kuchangia kitu nisichokielewa..
Kiukweli kunywa au kula kitu huwa inategemea mtu anayekula/kunywa anapendelea nini. Kuna vitu kijamii vinaonekana vinaenda sawa kuliko vingine............Kwa mfano tulio wengi tunaamini kuwa mlevi huwa hanywi chai, hali wali, anapenda sana pilipili anakula nyama sana. Inawezekana pia kutokunywa chai kunahusiswa na sukari. Hivyo kwa mtazamo wangu ni kuwa vitu vyenye sukari huwa havipendwi na walevi.congratulation sana!! Umefanya maamuzi ya busara!!Ni hivi kanisani wakati Rev akihubiri kuna point alitaja lilinivutia, akauliza wapendwa ambao kabla hawajajiunga na Imani walikuwa walevi, akasema ni wangapi ambao walikuwa na uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano? wakanyoosha watu kibao!Haohao akawauliza je, kati yao kuna mtu ambae ana uwezo wa kunywa soda nne? Hakunyoosha hata mmoja!!Swali linakuwa hivi, kama mtu anaweza kunywa bia 500mil na inalewesha kama tano na zaidi, kwa nini ashindwe kunywa soda 350mil isiolewesha hata 3?Hope umenipata.
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!
mgando. Peleka mawazo kwenye jua yakayeyuke.kanisani walijibu nini? au wamesema mje kutuuliza sisi?
sasa hilo ndo jibu?Kwa sababu hilo kanisa ulilotoa hilo swali wanakataza ulevi
we mmama, ugomvi wa kazi gani?
uuuuuuuuwwwwwiiii!!!! Huyu mmmammmma bwanaaa ila mzee wake kidogo kampa uhuru wa kukaa na laptop masaa yote.mhh jaman kwwan uyu ni mmama/asi nanii uyu...ni mmmmmmeeee
Umeitoa kanisa gani?Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!
KLPA (Kanisa La Pentekoste Arusha)Umeitoa kanisa gani?
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!
pombe sinywi ila bia nachakaza.First Born.... kweli hujawahi kunywa pombe.... Dah!