johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,038
- Thread starter
- #21
Kule hakuna majambazi bwashee!Jina langu halipo huko?
pandora?
Ni mafisadi.
Kule hakuna majambazi bwashee!Jina langu halipo huko?
pandora?
Acha uvivu bwashee!Documents million 12 mtanganyika wewe mgagaa na upwa UNAPATA WAPI MUDA WA KUFUNGUA ZAID ya kuwasubiri ALJAZEERA NA BBC waseme wamewaona au hawajawaona.
Umechunguza document zote milioni 12?Hata kama ufisadi upo lakini haujafikia viwango vya kutisha kama tulivyoona kwenye lile faili la Pandora.
Heshima ya Tanzania kimataifa ni ya kujivunia.
Mungu ni mwema wakati wote!
Tanzania Hakuna ufisadi Bwashee! Kuna stori za kutunga za watu kuchafuana tu kwa sababu za kisiasa na makundi!Hata kama ufisadi upo lakini haujafikia viwango vya kutisha kama tulivyoona kwenye lile faili la Pandora.
Heshima ya Tanzania kimataifa ni ya kujivunia.
Mungu ni mwema wakati wote!
Unaziona ni nyingi bwashee?Umechunguza document zote milioni 12?
Angalau piga propaganda za kueleweka.Unaziona ni nyingi bwashee?
Hata kama ufisadi upo lakini haujafikia viwango vya kutisha kama tulivyoona kwenye lile faili la Pandora.
Heshima ya Tanzania kimataifa ni ya kujivunia.
Mungu ni mwema wakati wote!
Bahati mbaya misingi yote ya uadilifu, uzalendo etc. iliondoka na Azimio la Arusha.Ndiyo maana tunawaambia wale anti Dkt JK na anti Dkt Magufuli, hawa viongozi si mafisadi ila mchwa ni hawa wateulr wao na tena wanakosa uzalendo tu. Hii nchi naamini kila mmoja akiwa muadilifu, mchapa kazi nchi itapiga hatua
Siamini kama jembe toka chattle anaweza kusuka cover mahiri kuliko Tonny Blair.Just because hawamo haimaanishi hawaibi. Wanaeza kuwa na perfect cover
You will be amaized what so called "common" peoples can doSiamini kama jembe toka chattle anaweza kusuka cover mahiri kuliko Tonny Blair.
Ngoja nitulie nijionee pichaYou will be amaized what so called "common" peoples can do
Ziko njia kibao tu za kuficha pesa
Hujawahi kuandika jambo likaeleweka