Nimelipitia faili la Pandora sijawaona Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete wala Magufuli. Hata Mbowe hayumo Tanzania ni safi!

Documents million 12 mtanganyika wewe mgagaa na upwa UNAPATA WAPI MUDA WA KUFUNGUA ZAID ya kuwasubiri ALJAZEERA NA BBC waseme wamewaona au hawajawaona.
 
Hata kama ufisadi upo lakini haujafikia viwango vya kutisha kama tulivyoona kwenye lile faili la Pandora.

Heshima ya Tanzania kimataifa ni ya kujivunia.

Mungu ni mwema wakati wote!
Tanzania Hakuna ufisadi Bwashee! Kuna stori za kutunga za watu kuchafuana tu kwa sababu za kisiasa na makundi!

Amini amini nakwambia na mfano mzuri ni issue ya Lowassa alivyokuwa branded na Chadema kabla ya uchaguzi wa 2015 na baada ya uchaguzi wa 2015.
 
Hata kama ufisadi upo lakini haujafikia viwango vya kutisha kama tulivyoona kwenye lile faili la Pandora.

Heshima ya Tanzania kimataifa ni ya kujivunia.

Mungu ni mwema wakati wote!

Haujaona ata mmoja ni kwa sababu ya weak currency ya tanzania. Mtu akiiba milioni mia mbili uki-convert kwenda kwenye dola si kiasi kikubwa.
 
Ndiyo maana tunawaambia wale anti Dkt JK na anti Dkt Magufuli, hawa viongozi si mafisadi ila mchwa ni hawa wateulr wao na tena wanakosa uzalendo tu. Hii nchi naamini kila mmoja akiwa muadilifu, mchapa kazi nchi itapiga hatua
Bahati mbaya misingi yote ya uadilifu, uzalendo etc. iliondoka na Azimio la Arusha.

Viongozi wanazungumzia uzalendo na uadilifu lakini matendo yao tofauti kabisa.
 
Hawa wanawekeza hapa hapa nchini. Ndio maana unaweza ona kipindi cha JK ufisadi ulikuwa mkubwa sana na uchumi ulikuwa sana.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom