Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,716
- 5,346
Brother we sema ulipigwa hio iphone ukaja kukifanya unaulizia bei ili uambiwe ofa upite na kichwa cha mtuWatu kama nyie huwa hamnipi tabu kabisa,haya sina hiyo IPHONE.
- Sawa nilitaka nipite na kichwa cha mtu.Brother we sema ulipigwa hio iphone ukaja kukifanya unaulizia bei ili uambiwe ofa upite na kichwa cha mtu
Iphone zote zenye amoled hazina hiyo bezzle kwa sababu kioo cha amoled kinaweza kusupport display yenye chin ndogo
Labda useme hiyo ni sample ila hakuna iphone ya hivi boss narudia HAKUNA
Afu mm natumia tecno tu nmekushtukia je wenye iphone zao wakija hapa utakimbia uzi
Story ndeeefu. Si ungesema wauza. Watu wataje bei.Wakuu mwezi uliopita rafiki yangu alikuja kunisabahi kutoka Marekani - Washington, mbali na vitu vingi ameniletea pia zawadi ya IPhone 13 Pro Max, Gb 128.
Kiukweli, mimi sio muumini wa divice za Apple. Nilitaka kujua yafuatayo kutoka kwa wajuzi
Nikiamua kuiuza inaweza pata wanunuzi?
Naweza pata kiasi gani nikiiuza?
Ikiwa kuna yoyote anahitaji aniambie.
Location: Dar es Salaam
View attachment 2279122
Milioni 4Mkuu ndio maana nimeuliza hapa,kama unanifahamu bei unaweza nisaidia kujua tafadhali.
Sawa mjuaji[emoji1666]hehehe bro marekani hakuna iphone 13 fake, soko kule bidhaa liko highly monitored..sio kama tbs kibongo..hiyo umepigwa na unajaribu kurudisha pesa kupitia mteja mwingine asie na ufahamu wa bidhaa za Apple.
Af unajikuta mjuaji..Karibu Mjini
Sawa Mkuu ngoja tujaribu kuuza hili li COPY LA WASHINGTON DC pengine tutapata hiyo laki niliyoambiwa hapo juu
Mkuu me sipo hapa kuuthibitishia umma kuwa simu ni fake au original, huyo ninaemthibitishia ndio amesha judge kuwa ni fake kwa picha nasumbukia nini sasa? I'm not here to impress anyone.Hebu nenda setting, general kisha About piga picha maelezo ya Model number au Serial number uyalete hiyo itaondoa wasiwasi wa wadau wanaojudge kuwa no copy au la!
😂 😂 😂 😂 Kwano bro wewe unaishi wapi?Wanajifunza kule, mijitu yenye roho mbaya inapatikana Africa hasa Tanzania.
Sawa.Hii ndio 13 pro max hiyo uliyonayo umepigwaView attachment 2279473
Mkuu nakwambia wewe acha tu wanadamu, wajuzi kina Boniface Chengula wame certify kuwa simu ni original nimewatumia na specifications zake, wajuaji wa humu JF sasa daah[emoji4], mara simu ndefu kama uso wa Asha Ngedere ili mradi kila mmoja aonekane ameongea,ni watanzania sishangai huo ndio uhalisia wao.wenye infinix note 12 wana wivu sana
Anasema mna wivuKama hio ni iphone niite mbwa nipo palee nimekaa