Kabisa bob. Tanzania haiendelei sababu kuna watu umasikini upo kwenye damu unatembea mwili mzima. Jitu halitaki mwingine apate hata kama haita mgharimu chochote.Wanajifunza kule, mijitu yenye roho mbaya inapatikana Africa hasa Tanzania.
Udanganyi.mara paap aliyekupa zawadi ndie mnunuziKwa maana kwamba? nadanganya haijotaka USA?
Ukipenda kitonga na misaada lazima uone watu wana Roho mbaya wasipo kidhi haja zako.Wanajifunza kule, mijitu yenye roho mbaya inapatikana Africa hasa Tanzania.
Nipe location nimuagize bodaNjoo uchukue bure Mkuu maana situmii
Angalia mfano hiki nilichoandika tu hapa.Kabisa bob. Tanzania haiendelei sababu kuna watu umasikini upo kwenye damu unatembea mwili mzima. Jitu halitaki mwingine apate hata kama haita mgharimu chochote.
Me huwa nachukia sana hayo majitu nikikutana nayo.
So niitunze kama pambo mkuu?, marketing? naweza kufanyia marketing IPhone Pro Max? au inajifanyia marketing yenyewe? I'm smarter enough than any contemplation you can easily establish regarding this matter, all information provided are genuine.Mtu akakupa Zawadi kawe usiiuze au kumpa mtu mwingine. Kakuletea wewe na sio ajili ya kuuuza utajinyima vingi toka kwa watu ukiwa na tabia hiyo.
Weka hilo kichwani, Unless iwe ni njia ya Market umetumia ili kuwapata wakuja[emoji28]
iphone ina sura ndefu kama asha ngedere..Ahhahaa na wewe umeona mkuu... uani imebidi niiangalie yangu mara mbilimbili hapa
Upo sahihi Mkuu, Ni kweli kabisa tunarogana sababu ya umasikini tuMazingira huwa yanawabadilisha. Upambanaji plus upatikanaji wa fursa za kujiingizia kipato kwa urahisi inawafanya kuondokana na roho za kibongo za kwann.
Maana akikupa wewe chochote ana uhakika atapata tena mara mbili yake so haina shida.
Kibongo bongo mtu anaweza kuwa na milioni kwenye akiba ukaomba akuazime 20,000 akipiga hesabu namna kaipata ile milioni anaona hapana, hatoweza kuichenji kwaajiri yako wacha tu asikupe kama ni dhambi MUNGU atasamehe.
Umasikini huwa unawafanya watu kuwa na tabia za ajabu sana kama ushirikina, uchoyo, ubinafsi, kubania wengine, kuchukia wengine bila kukosewa lolote, wivu, ghubu, etec.
Ndio maana babu yetu Nyerere alitusihi sana kuwa tuupige vita sana umasikini kwa maana huwa unaleta matatizo mengi sana.
ππππiphone ina sura ndefu kama asha ngedere..
πππππAngalia mfano hiki nilichoandika tu hapa.
- Kuna mtu hadi ananitukana eti me ni MJINGA.
- Mwingine hilo li simu ni FEKI
- Mwingine yangu ni ORIGINAL yako FEKI.
- Mwingine wewe umeletewa zawaidi za KUTUPA.
Kuna shida kubwa sana miongoni mwetu watanzania,ila sawa ngoja tuone tutafika wapi.
Kutukana wenzako fresh, ila ukitikiswa kidogo unaanza kutia hurumZungusha hizo duara zako tena,ujuaji wa kijinga muachane,unacheka na nani?pita kando tafadhali.