Nimelazimishwa kushiriki tendo bila kinga

Wakuu habarini

Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
kosa ni wewe kukubali

subiri utaitwa baba mlezi hivi karibuni
 
Akili za matako, when you think with your ass....
Wakuu habarini

Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
 
Mungu Akulaze Mahala Pema Ameen!

Wana Jamii Forums Tulikupenda, Ila Kifo Kimekupenda Zaidi.

Safari Njema Kijana.
 
Wakuu habarini

Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
Usiwe na haraka dogo jibu linakuja tulia kama moja ww utaelewa somo tu.
 
Unafungashiwa Mimba isiyo yako!!!!! Hivi Mwanaume mzima unashinikizwaje na Mwanamke kufanya jambo la kijinga hivyo!!!! Bora ungesema umeshawishika, mi nilishajiandaa kusikitika nilipoona tittle kwamba ni Nani tena kamuonea Dada yetu, na kuja kukuta eti ni mwanaume
Ndiyo akili nyingi za wanaume wengine wanakuwa na ndoa zao baada ya hapo anaanza kuhangaika na mchepuko kwa mimba ya msaada
 
Wakuu habarini

Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga

Wewe ni mpumbavu na umetudhalilisha wanaume
 
HIV still doesn't have a cure and life still doesn't have spares ,

One night stands are not safe , if you must use protection.

Withdraw isn't effective, and you're most likely not ready to be a parent, use protection coz pills are dangerous and abortion is super risky

Abortion is super risky, hahahahaha those days my friend, ila dhambi iko pale pale
 
Wakuu habarini

Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
Baada ya mwezi mmoja nenda Angaza ukapime kipimo kikubwa.
 
Kashauriwa na mganga namna ya kuzipata shahawa zako ampelekee, na wewe ulivyokuwa mjinga umeingia kingi!
 
Wakuu habarini

Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
jiandae kupewa ujumbe wa ujauzito ambao sio wako
 
Hapo sio ngoma...
Hio ni mimba umesingiziwa mkuu..

Hapo theory iko hivi.
Mlipokosana alikutana na kijamaa ambacho huwa kinamsumbua kumtongoza kwa mida mrefu..sasa akaamua kukikubalia ili apunguze maumivu ya kugombana na wewe..
Jamaa alipogusa tu mimba ikanasa.
Sasa akaona hilo li jamaa halina future akaona boya ni wewe wa kupewa zigo la mavi.

Akajifanya anataka yaishe akaja kwako ku-negotiate na wewe ukaingia king ukala mzigo kavu bila ndom..
Na mimba ndo inakuwa yako.

Subiri baada ya wiki 3 au mwezi top.
Utaambiwa siku hazionekani!!!
😅😅😅😆😆😆😆 ila wanawake akili zao bana, na hili boya ukute litashikishwa kweli
 
mleta uzi umeonaje ramli za wenzako hapo? 😀 😀
mimi niseme tu hakuna tatizo kama alivyokwambia tu yeye alitaka nyama kwa nyama alifeel dushe hahahah mamaee
Hahahaahah we hujaona tatizo baharia, mbuzi kafia kwa muuza supu hapo 😅😅😅
 
huyu jamaa kanichekesha sana yani yeye kaona hamna tatizo kabisa imebdidi mi nimuunge mkono tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom