Umenikumbusha mbaliMi sikuwepo
halafu akaona kule miyeyusho akataka akuangushie wewe jumba hilo...yani ulee mtoto sio wako..hawa wadada hawa.Hahaha jamaa kaeleza ukwel kabisa..
Mimi kuna mmoja alifanya hvyo halafu nikamkata maini baada ya tendo nikamwambia natafuta pesa za kwenda hospital kubwa ili nikajitibu niliambiwa siwezi kumzalisha mtu..
Nikitoka huko nitakutafuta tupate hata kabebi ketu[emoji23][emoji23]. Alinywea gafla kumbe kalikua na mimba katoka nayo huko alikotoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I just smoked weed with dictionary paper. Right now I'm feeling so Inflotonorous stequrere
Difimatelygatious slituazanaonism
Ohoooo!!!KAZEZE KAZEZE.Baada ya wiki mbili anza kupima "GRIDI YA TAIFA" UMEME WA REA kujua kama Umeunganishwa au Lah ,Fanya hivyo kila baada ya mwezi kwa mda wa miezi m3.
Kaandike wosia tu ndugu.Wakuu habarini
Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
Hatari kashalamba KAZEZE.Ohoooo!!!KAZEZE KAZEZE.