Nimelamba mchepuko wa dingi, hautaki tuachane

kisheria una weza kosa urithi kwa babaako
akijua
 
bileku mpasi anadai amea, and then a anasema anasoma, and then anasema wanamtegemea dingi kifedha... and then anakwenda kwa mchepuko wa dingi on regular basis... and then anataka kujinasua

Things dont add up

Utunzi F, Fiksi A
 
Last edited by a moderator:
Hii script ukipeleka bongo movie utaweza kuwa mwandishi/mtunzi mzuri.
 
kapime aisee, inasemekana mchepuko huo ulikuwa unatumia dawa za maisha
 
Yani we kaka na baba ako wote mnashea tobo moja jamani... Hujiskii vibaya?? Pyuuuuuuuuu... Mi kama ndo mkeo nakuacha siku hiyo hiyo.. Halafu unaomba ushauri wakat jibu unalo
 
Hapo nadhani ukimuuliza mama yako mzazi atakusaidia kwa ushauri uliotukuka
 
Inaonekana hata baba yako humpendi..achilia mbali mama na mkeo
 
bileku mpasi anadai amea, and then a anasema anasoma, and then anasema wanamtegemea dingi kifedha... and then anakwenda kwa mchepuko wa dingi on regular basis... and then anataka kujinasua

Things dont add up

Utunzi F, Fiksi A
Vipi mkuu macho yako yana matege!?

Hebu rudia kusoma vizuri hiyo post manake inaonekana kiranja ulisoma kwa kuruka ruka mistari...
 
Last edited by a moderator:

Kabang Ndio Nini Mkuu Umeniacha Kidogo Apa
 
Duuu inaonesha baba ako kanogewa na kabang na wewe pia umenogewa na kabang kwa sababu mkeo ni mtiifu hajawah kukuruhusu umuharibu

Sasa vuta picha umefumaniwa halafu ndugu zako wote wanajua umeshea Malaya na baba ako.

Pu****u zako subir moto wa jehanam ucpotubu..unaacha mke mzur nyumban unahangaika na Malaya walioziea kuf***wa.
Ma**na zako...mfyuuuuuuuuu.
Mwanaume km wewe ni wa kupigwa mawe.lol
Umenikera yan sijui mkeo akijua atajisikiaje..mfyuuuuu
 
Like father like son. Badala ya kumkemea baba yako aache kumtesa mama yako na wewe umeingia mule mule...unaanza kumtesa mkeo sasa. Wewe na baba yako wote shetani amewapitia!!
 
MULTIPLE id'S WONT HELP YOU

unatunga story kitoto mno na kipumbavu, they add no value to anyone... ficha upumbavu wako

Mm Nina ID moja tu
Nikikukosoa ni dhambi?

Kwa hiyo watu wakikukosoa wana id mbili?
Acha ushamba

Maana ukisema thread ni ya uongo unatutukana na sisi tulio comment ndo maana nikasema utaolewa maana unadandia vitu

Kwani umelazimishwa kuchangia?
Kama ya uongo si upite

Watu 59 tume comment ss ni wajinga

Narudia tena utaolewa acha mdomo na ujuaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…