.
Mkuu, unajua nini ...
Mtu kaleta uzi wake hapa anaomba ushauri .... sasa kataja mazingira alafu watu wengine humu jamvini baada ya kusoma mazingira na kumfahamu muhusika wenyewe wanaanza kumwaga data zote hapa!
... kuanzia kazi, nchi waliyoenda, yupo nani na nani, wamepewa kiasi gani (per-diem), wanatoa hadi data za waliondoka lini, watarudi lini, na hata some charactaristics za hao watu & it seems washajua hadi mwisho utakavyokuwa
... sasa hapa ndo naona tatizo ... home kwake jamaa watakuwa washajua, au mke wake ni memba wa hapa JF atakuwa ameshasoma hii thread na atakuwa anajua jamaa yake anafanya nini huko ... ndoa mashakani
.... sasa kujitoa kwenye kundi la mashahidi nimeamua kupitiliza huku nikiwa natembea mwendo wa kuchoka kabisa
.