Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

mrejesho tafadhali, ilikuaje siku zilizofuata
 
Ndoa bado zipo hatarini hata wasipodate,KULALA CHUMBA KIMOJA,KITANDA KIMOJA,SHUKA MOJA halaf wanandoa je wenza wao wakisikia au wakijua kuna amani hapo?

May Allah bless Me and You
 
Bwashee mkanda uliishaje?
Wanikumbusha kisa changu flani na chotara la kikaburu
 
Piga mzigo jombaa, au subiri akakuseme vibaya[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
OH, UNAWAPA PRESHA WALIOOA AMBAO WAKE ZAO WANAENDA SEMINA..

MKUU, HUYO NI MKE WA MWANAUME MWENZIO, NAKUSHAURI UCHUKUE CHUMBA KINGINE

KWA MKUMBATIO HUO LEO LAZIMA UTAINGIA MTEGON MAANA HALI YA HEWA YA ASUBUH SYO NZURI KUKWEPA KITANZ CHA UZINZI..
Kisa cha miaka mingi sana mkuu
 
Nimejikuta nawaza bf wangu ninavyomuheshimu najinyima kwa ajiri yake kweli kama anafanya hayo yako he will never be happy.

Plz staki kuja kuona mrejesho eti shetani kakupitia bar.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo mengine tufichwe tu
 
Ushawishi utakumaliza na kwann mnategana kiasi hicho? Haitakiwi kabisa amekuingiza sehemu ambayo hutaweza kutoka, endelea kushangaa mchezo lazima akukabe na ufanye nae tuu, kama unampenda mkeo wacha hyo mambo, tafuta chumba kingine japo ulishakosea mwanzoni, but wacha akuone mwanaume dhaifu lkn kumbe jasir mbele za Mungu na mke wako uliyemuacha home, Huyo mwanamke anaonekana ana shida ni kawaida yake, japo mm nimewah lala na mdada nilikuwa nasoma naae Advance dodoma, tukaenda kwake lkn ni mm nilimuambia naomba nilale kwake wakat huo sikuwa na hofu ya Mungu vzur, akanipa shuka tukalala wote kila mtu naa shuka lake, sikumgusa hata na yeye hakufanya hvo, issue ni mind tuu, ukiandaa mind kufanya hvo lazima ufanye tuu. Mungu akusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…