Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........


Get out from that FANTASY World brother ang get a life. Hii stori ni ya kutunga. Na kama kuna mwanamke unamtamani hapo ofisini kwenu, ni bora ukamtongoza tu. Maana ukimtongoza kuna mawili, kukubaliwa au kukataliwa. Lakini kutomtongoza kabisa, kunakufanya uendelee kuishi kwenye dunia ya kufikirika kama hivi.
 
Mhmmmm!!! kazi unayo kaka. ila ulifanya makosa toka mwanzo kulala na mwanamke mwingine ili hali ukijua wewe ni mke wa mtu. Ila bado haujachelewa kwani unaweza kuondoka hapo chumbani na kupangisha chumba kingine ili kulinda ndoa yako.
 
huyu Manii or sorry Manuu mbona harudi?bora Mandieta na mlalia zipu wake aliendeleza movie lake mpaka kikaeleweka!
 
Ningekua mimi ningemega tu ku-maintain heshima!!
 
duuu kusoma tu hii post nimedinfisha je nkekuwa nmelala naye!!!!!!!!! mkuu unahitaji ujasiri wa kihanisi hushinda hilo jaribu
 
Ningekua mimi ningemega tu ku-maintain heshima!!
 
naona jamaa kaamua kula fungate
 
Hiyo kulala na demu bila kumega mbona inawezeka hata mimi nilisha safiri na dada mmoja kutoka dar kwenda singida hakuwa na pesa za kutosha nikachukua chumba nikamkaribisha nikanunulia na chips kuku wa kienyeji akala tukalala hakuwa na mvuto kwangu .Sasa huyu jamaa aweke wazi kama huyo dada ana mvuto au la kama ana mvuto amege pole sana,pili nilikutana mtalaka wangu kwa miaka 8 tukalala bad moja sikumega kwani mvuto kwake ulishaisha naomba kuwakilisha
 
Manuu umepotelea wapi, huleti mrejesho na siku tano karibu zinaisha
 
C mnataka mpige pesa, na pesa ni shetani, na umeshamkaribisha bac endeleeni kucheza ngoma hiyo, ww mpk unamkumbatia eti unafikir ni ur wyf, ipo cku utaenda kuoga nae ukijua wyf, na mwsho utaomba game ukijua, bado 2 unataka miujiza,
 
So fsr nadhani issues sio chumba kimoja, bali kitanda kimoja na shuka moja hiyo hapana ni kumpa shetani nafasi. Halafu hata kama Manuu hayajafanya naye sex kwa maana ya penetration ya ile organ lakini tayari kichwani amekwisha fanya sex muda mrefu tu. Cha muhimu hapa wahamie chumba cha vitanda viwili ili kila mmoja alinde ndoa yake maana huwezi kujua huenda wakianguka tu haitaishia huko bali hata wakirejea nyumbani wataendeleza mchezo
 
Mengine unaweza mtu ukavumilia. Hii yakuwekewa mguu juu! hiyo siwadanganyi sintaweza. Uzalendo utanishinda. Kwa wenye uwezo huo hongereni sana. Nawapa BiG up.
 
duu watu bwana bado wanasubiria episode2 wakati leo ni episode4
 
Kama kweli unahc lengo lako ni zuri, mjulishe mkeo nae umwambie amjulishe mumewe. Hapo mtajua kuwa mnalolifanya ni sawa au si sawa mbele za mwenyezi MUNGU. Hela zipo tuu kaka, utaziacha....
 
mh! stori hii ni ngumu kuaminika. hata kama una hofu ya mungu, kitendo tu cha kuwa na mdada chumba kimoja, ni vigumu kupitisha siku namna hiyo.ingekuwa heri kila mmoja akawa na chunba chake. unatuzuga tu wewe......ushakula tunda kwa sana........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…