NIMEKWAMA.

NIMEKWAMA.

Habari wanajamvi.

Ndugu zanguni mwenzenu nimekwama kimbinu.
Kuna dada nilimtongoza mwaka mmoja ulopita akakubali na akaja getto nikamuomba gemu akakataa nikamuacha aende zake.

Baada ya wiki moja nikasafiri kikazi nje ya mkoa wangu(toka kanda ya ziwa hadi kusini mwa tanzania) tuliendelea na mawasiliano japo sio ya kila siku nilikuwa simtafuti maranyingi kwa kuwa bize mda mwingi afu huko nilipata mchepuko wa kimakonde ukanichanganya ukawa unanipa mauno kama feni bovu,msukuma mimi nikachanganyikiwa nikawa namtafuta yule binti wa nyumban mara moja kwa wiki.

Sasa miezi kama 9 imepita na sasa nimerudi kweny mkoa wangu,, nimezidisha mawasiliano nae huku nikimtaka aje getto lakini anasema hana mda akipata atakuja lakn ni wiki ya tatu hii kila siku story ileile eti hana mda akipata atakuja,, afu ananiuliza kwann nilivokuwa kule mawasiliano yalififia saiv nimezidisha???

Nimejaribu hata kumwambia kuwa nimemletea zawadi lakin haji tu(ni kweli zawadi nmemletea chupi na taiti)

Sasa ndugu zangu nimekwama namna ya kumshawishi naomba mnieleze namna gani nimshawishi ili aje geto nimchakate

NB: tangu nije sijaonana nae na si mbali sana na anakokaa takribani kilometa 6 tu.
UNAONAJE UKIMFATA ANAPOKAA
 
Sasa ilo jina la sukari ya warembo ulilitoa wapi?
 
Ndiyo hata kama ni chumba kimoja cha msingi panamsitiri. Anatakiwa apatambue kama nyumbani kwake na siyo gheto.

"Khantwe njoo basi gheto unipikie na kufua" . hauoni kama imekaa kidharau dharau?

"Khantwe njoo basi nyumbani mama upike unisaidie kufua" ooh hii nzuri.
Cute b mama karibu PM kwangu tuongee
 
M mpesa afu kausha akikaa kimya mpesa tena akijibu asante muite ajeachukue zawad zngine thanks in advance
 
Siku ya kwanza aliondokaje bila Mtombo????? Hilo ndo kosa lako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom