Yaani ni tatizo siyo kwenye lugha tuu hadi kwenye kumjali mwanamke.[emoji23][emoji23][emoji23] eti njoo unipikie na kufua, unamaanisha wanaopaita nyumbani 'gheto' hata matumizi mengine ya lugha ni tatizo
Akipaita kwake gheto ujue mpenzi wake lazima aitwe "demu" au "manzi"