Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Nimeunganisha dots tuunamjua nini
Nimeunganisha dots tuunamjua nini

tafuta mke uoe
Habari wanajamvi.
Ndugu zanguni mwenzenu nimekwama kimbinu.
Kuna dada nilimtongoza mwaka mmoja ulopita akakubali na akaja getto nikamuomba gemu akakataa nikamuacha aende zake.
Baada ya wiki moja nikasafiri kikazi nje ya mkoa wangu(toka kanda ya ziwa hadi kusini mwa tanzania) tuliendelea na mawasiliano japo sio ya kila siku nilikuwa simtafuti maranyingi kwa kuwa bize mda mwingi afu huko nilipata mchepuko wa kimakonde ukanichanganya ukawa unanipa mauno kama feni bovu,msukuma mimi nikachanganyikiwa nikawa namtafuta yule binti wa nyumban mara moja kwa wiki.
Sasa miezi kama 9 imepita na sasa nimerudi kweny mkoa wangu,, nimezidisha mawasiliano nae huku nikimtaka aje getto lakini anasema hana mda akipata atakuja lakn ni wiki ya tatu hii kila siku story ileile eti hana mda akipata atakuja,, afu ananiuliza kwann nilivokuwa kule mawasiliano yalififia saiv nimezidisha???
Nimejaribu hata kumwambia kuwa nimemletea zawadi lakin haji tu(ni kweli zawadi nmemletea chupi na taiti)
Sasa ndugu zangu nimekwama namna ya kumshawishi naomba mnieleze namna gani nimshawishi ili aje geto nimchakate
NB: tangu nije sijaonana nae na si mbali sana na anakokaa takribani kilometa 6 tu.
Ha ha ha... Tatizo ameshagundua kuwa kwake umeozaSiwez nikamuacha maana sijamchakata labda hadi nnchakate, afu demu mzuri, mweupe peee!! ,,jicho kama anasinzia,, jino jeupeee,,, chuchu sa sita,, japo hana tako.
Maisha kigheto ghetoIna maana wewe kuonana na mpenzi wako ni lazima iwe gheto? Yaani siku zote haujaonana nae kisa hataki kuja gheto?
Huyo Dada ana akili sana na ninampongeza.


Kwanza mwanaume anayeita kwake gheto duuh.Maisha kigheto gheto![]()
Hahhha jaman mbona hata Akon aliimba gheto... Mabaharia wamezoea magheto...Kwanza mwanaume anayeita kwake gheto duuh.
Mtu anitumie msg eti "baby njoo basi geto" naweza nikamnyonga.
Heshimu nyumbani kwako. Paite nyumbani na siyo gheto.Hahhha jaman mbona hata Akon aliimba gheto... Mabaharia wamezoea magheto...
Kwanza mwanaume anayeita kwake gheto duuh.
Mtu anitumie msg eti "baby njoo basi geto" naweza nikamnyonga.


we mwanamke ni mtata sana. Sasa kama amepanga chumba kimoja uani bado anatakiwa kusema nyumbani kwangu?Ndiyo hata kama ni chumba kimoja cha msingi panamsitiri. Anatakiwa apatambue kama nyumbani kwake na siyo gheto.we mwanamke ni mtata sana. Sasa kama amepanga chumba kimoja uani bado anatakiwa kusema nyumbani kwangu?



My take ni kuwa the so called mabaharia hawayatumii hayo maneno... Utasikia demu wangu, gheto langu etc etc... Na ni wabishi kweli kweli kwenye hili.Heshimu nyumbani kwako. Paite nyumbani na siyo gheto.
Ndiyo hata kama ni chumba kimoja cha msingi panamsitiri. Anatakiwa apatambue kama nyumbani kwake na siyo gheto.
"Khantwe njoo basi gheto unipikie na kufua" . hauoni kama imekaa kidharau dharau?
"Khantwe njoo basi nyumbani mama upike unisaidie kufua" ooh hii nzuri.


eti njoo unipikie na kufua, unamaanisha wanaopaita nyumbani 'gheto' hata matumizi mengine ya lugha ni tatizoKo nifanyaje mkuu ili aanze kunipenda kama mwanzoHa ha ha... Tatizo ameshagundua kuwa kwake umeoza
Huwa sihongi hela kubwa ivo man. Ila akija afu nimchakate hatakuja kuniacha ataluwa ananililia kila siku.Mtumie elfu 50 halafu tuone kama hatakataa, hakikataa tuma laki
Unataka asemaje kama bado kapanga.????Kwanza mwanaume anayeita kwake gheto duuh.
Mtu anitumie msg eti "baby njoo basi geto" naweza nikamnyonga.
Tatizo huyo hajanionja ndo maana ananyodo.I see ningetangulia kusoma I'd yako katu nisingethubutu kupoteza muda wangu kutoa maoni yangu. sukariyawarembo. Kumbe unatusanifu tu..! Ng'ombe we
Kwahyo nyumbani ungekubali kuja?Ndiyo hata kama ni chumba kimoja cha msingi panamsitiri. Anatakiwa apatambue kama nyumbani kwake na siyo gheto.
"Khantwe njoo basi gheto unipikie na kufua" . hauoni kama imekaa kidharau dharau?
"Khantwe njoo basi nyumbani mama upike unisaidie kufua" ooh hii nzuri.