NIMEKWAMA.

NIMEKWAMA.

sukariyawarembo

Senior Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
167
Reaction score
117
Habari wanajamvi.

Ndugu zanguni mwenzenu nimekwama kimbinu.
Kuna dada nilimtongoza mwaka mmoja ulopita akakubali na akaja getto nikamuomba gemu akakataa nikamuacha aende zake.

Baada ya wiki moja nikasafiri kikazi nje ya mkoa wangu(toka kanda ya ziwa hadi kusini mwa tanzania) tuliendelea na mawasiliano japo sio ya kila siku nilikuwa simtafuti maranyingi kwa kuwa bize mda mwingi afu huko nilipata mchepuko wa kimakonde ukanichanganya ukawa unanipa mauno kama feni bovu,msukuma mimi nikachanganyikiwa nikawa namtafuta yule binti wa nyumban mara moja kwa wiki.

Sasa miezi kama 9 imepita na sasa nimerudi kweny mkoa wangu,, nimezidisha mawasiliano nae huku nikimtaka aje getto lakini anasema hana mda akipata atakuja lakn ni wiki ya tatu hii kila siku story ileile eti hana mda akipata atakuja,, afu ananiuliza kwann nilivokuwa kule mawasiliano yalififia saiv nimezidisha???

Nimejaribu hata kumwambia kuwa nimemletea zawadi lakin haji tu(ni kweli zawadi nmemletea chupi na taiti)

Sasa ndugu zangu nimekwama namna ya kumshawishi naomba mnieleze namna gani nimshawishi ili aje geto nimchakate

NB: tangu nije sijaonana nae na si mbali sana na anakokaa takribani kilometa 6 tu.
 
Ana akili kufikiria mbele kuzidi wewe. Wewe unawaza ngono tu nae,na ameshalijua hilo. Ndio maana amegundua -1. Ulikata mawasiriano (maana yake ulikuwa na mwingine kwenye ngono tu). 2. Unamwita aje gheto tu,gheto tu (kwenye ngono tu). 3. (Sio yeye)Umemnunulia chupi na tait (unawaza vya ngono tu kununua). Kwa nini usinunue gauni,saa,viatu?. Ngono,ngono,ngono tu akilini mwako.
 
basi we n pilipili ya warembo na sio sukari ya warembo kama ID yako isemavyo
 
We jamaa Ni m ngese Sana.

Ulienda umakondeni, ukapata mwanamke wa kimakonde? Sasa inamana huko unashindwa kupata msu **** mwenzako? (Mwingine?)

We jamaa mbona unakwama kitoto hivi.
 
NAENDELEA KUOMBA ASIFIKE KABISA🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Ina maana wewe kuonana na mpenzi wako ni lazima iwe gheto? Yaani siku zote haujaonana nae kisa hataki kuja gheto?
Huyo Dada ana akili sana na ninampongeza.
Nataka nimchakate,, sasa tukionana barabarani ntamchakataje???
 
Ana akili kufikiria mbele kuzidi wewe. Wewe unawaza ngono tu nae,na ameshalijua hilo. Ndio maana amegundua -1. Ulikata mawasiriano (maana yake ulikuwa na mwingine kwenye ngono tu). 2. Unamwita aje gheto tu,gheto tu (kwenye ngono tu). 3. (Sio yeye)Umemnunulia chupi na tait (unawaza vya ngono tu kununua). Kwa nini usinunue gauni,saa,viatu?. Ngono,ngono,ngono tu akilini mwako.
Ko unanishaurije.

Nimenunua vya ndani kwa sabab anakaa kwa wazaz ko nkimnunulia gauni au viatu ataulizwa na wazaz na kaka zake.
 
We jamaa Ni m ngese Sana.

Ulienda umakondeni, ukapata mwanamke wa kimakonde? Sasa inamana huko unashindwa kupata msu **** mwenzako? (Mwingine?)

We jamaa mbona unakwama kitoto hivi.
Siwez nikamuacha maana sijamchakata labda hadi nnchakate, afu demu mzuri, mweupe peee!! ,,jicho kama anasinzia,, jino jeupeee,,, chuchu sa sita,, japo hana tako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom