Nimekwama wakuu msaada wenu plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekwama wakuu msaada wenu plz

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MwanzoMwisho, Jun 22, 2011.

 1. M

  MwanzoMwisho Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Niko na idea kidogo sana ya cisco commands na hapa nina router ambayo nataka badili setting zake. Naweza ingia mpk ktk privilage mode bt cwez fanya changes naombeni msaada wenu please.
   
 2. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mimi sio mtaalam wa networkin, nilijifunza ila nimezisahau. nakushauri search youtube lazima utapata
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  What changes?

  Try this first:

  Start menu-> Run -> Type "cmd" (without the quotes) and a black window will open.

  In that window type: "ipconfig" (without the quotes) and then hit enter.

  Look for the "Default Gateway" entry. That is the address you need to type into your web browser to access the router config.
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nimesahau hata mm lakini nadhani cisco ina user au mode tafouti kulingana na privalage unazotaka. Kweli ukienda youtube utazipata kkwa video na hata ukienda kwenye website ya cisco pia . One of them nayokumbuka ni exec mode.

  So tumia google au wiki ya cisco kama hiii
  Cisco - IOS Tutorial au Nondo kamili ziko hapa http://www.cisco.com/en/US/docs/ios/12_0/configfun/configuration/guide/fcui.html

  Yaani bila kuona sign # ujue huna privilages za kabadilisha kitu kama sikosei. Na router za kisasa za Cisoco pia zina njia rahisi ya GUI throughweb interface kuliko ile ya Command. So unweza kujaribu kufanya configuration kutumia web inteface badala ya Command prompt
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ungesema umeshindwa nini, na imeleta error gani tungeweza kukusaidia, kama uko privileged mode sidhani kama kuna change hauwezi kufanya.
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mtumishi wa Mungu kumbe na wewe wamo pande hii aiseeeee! ubarikiwe na Bwana Yesu.
   
 7. M

  MwanzoMwisho Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thanks kwa comments zenu wakuu tatizo ambalo nmekwama ni kwamba sijasoma cisco na wala cjawahi fanya setting yoyote ya router za cisco hapa nachotaka fanya ni kubadili DNS address yangu bt cjui how to go about japo nina uwezo wa kuingia mpk katika privilage mode command za kubadili ndo czifahamu. Na youtube nadhan ISP wetu ametubania kwn chochote unachotaka angalia kupitia youtube hakikubali. Msaada wenu zaidi wadau
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 9. M

  MwanzoMwisho Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wadau router yangu ni cisco asa 5505 series ndo inayonizingua sana katika kujaribu kubadili setting zake hasa nataka badili dns address
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo router haitakiwi kuzingua labda kama hupendi kusoma documentation

  Una option mbili kuna njia ya kutumia GUI Tools ya CISCO one of them ni hiyo SDM na nyingine na CCP( cisco configarion prfofesionall)
  futalia series za huyu jamaa ujue jinsi ya kutumia SDM youtube ni ni rahisi lakini ina mlolongo mrefu.


  Maeleo yanaweza kukusaidia ya SDM haya hapa


  Option nyingine ni kutumia Command line interface ( CLI). Hii ni njia fupi lakini ndo vidole inabidi viwe busy

  Soma hapa Basic Cisco Router Configuration Steps | Networks Training


  BTN.
  Je una taka kuifanya hiyo ASA iwe ndo DNS server?
  HIzo ni setting mpya au unataka kubadilisha to setting zilizokuwepo?
  Unaweza kupaste na kutuweka hapa currtent configuration za hiyo Router ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. M

  MwanzoMwisho Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimekupata mdau kwa msaada na ushauri wako mimi nataka badili setting zilizokuwepo maana nkiiunga kwny modem cpati internet inatoa msg ya kwamba failed to communicate with dns. nlipochek na isp wetu akanambia nbadili dns adreses ss cko cjawah fanya setting yeyote ktk router ngoja nptie hz link ulizontumia nkikwama ntakujulisha. Bt thnx
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ukiwa privileged mode

  Code:
  conf t
  ip name-server 4.2.2.2
  Unaweza kutumia hiyo 4.2.2.2 ambayo ni DNS server ya bure au weka ipa ddress ya DNS server ya ISP wako. Pia kuna 8.8.8.8 ya Google.
   
Loading...