Nimekwama,ninauza nyumba yangu chanika:

Nimekwama,ninauza nyumba yangu chanika:

Joined
Nov 13, 2011
Posts
36
Reaction score
10
Habari wandugu,
Mimi ni kijana mjasiria mali hapa jijini dar,kama kawaida ya wajasiria mali tunakuza mitaji kwa njia ya mikopo mbalimbali kkama nilivyojaribu kufanya mimi.
Kwa bahati mbaya sikufanikiwa kufikia lengo langu hivyo nimebaki na deni ktk taasis moja ya fedha.
Kwa kua kimfaacho mtu chake,nimeamua kwa ridhaa yangu mwenyewe kuuza nyumba yangu iliyopo chanika mwisho nyuma ya kituo cha msumbiji,
nyumba ina vyumba vinne,kimoja ni masterbed room,sebule choo na bafu vyote ndani.
Nyumba haijaisha imefikia hatua ya kupau,usafiri wa njia ya gari mpaka mlangoni.
Uhalali wa nyumba upo na nitakudhibitishia kokote utakapo taka kujiridhisha wewe.
Kwa anyehitaji piga sim no 0713 72 42 42
 
upo ndani ya eneo la mradi wa viwanja 20000? je una hati miliki?
 
Pole sana;
Ni vema umeamua hivyo
kimfaacho mtu ni chake.

Ila ungeweka bei na picha kama inawezekana.

Kila la heri mwaya.
 
Mbona km kuna harufu ya ujanja ujanja!!! Unasema viambataish vyote vipo sawa!?yn hati na zagazaga nyinginezo

Haya na uweke bei hapa
 
Hapana siko ktk mradi wa viwanja elf 20,nisquarter area iliyo na barabara za mitaa,
Najaribu kuweka attachment inashindikana labda baadae itakapo kubali.

unauza kitu kisichokuwa na bei?
 
Mbona km kuna harufu ya ujanja ujanja!!! Unasema viambataish vyote vipo sawa!?yn hati na zagazaga nyinginezo

Haya na uweke bei hapa

Acha kumharibia biashara Mtanzania mwenzako kabanwa, hiyo harufu ya ujanja wewe umeiona wapi? kama ni mnunuzi unajua hatua za kufuata kuhakikisha uhalali wa deal yenyewe. Mkuu robemongi naelewa kubanwa mkuu, uza mali uokoe jahazi, mwanaume ukianguka hakuna kushangaa unainuka unaanza kusakanya tena mpaka kieleweke, kila la heri.
 
Last edited by a moderator:
Ulipochukua mkopo inaonekana uliweka nyumba kama dhamana ya mkopo hivo kama umeshindwa kulipa wataichukua.

Je ulivyoamua kuuza huoni kama utamletea matatizo mnunuaji?
 
Ulipochukua mkopo inaonekana uliweka nyumba kama dhamana ya mkopo hivo kama umeshindwa kulipa wataichukua.

Je ulivyoamua kuuza huoni kama utamletea matatizo mnunuaji?

Hamna shida wala kwenye hili I once bought in the same ave you worry about!!!!!
Mnaenda bank husika wewe unanunua deni then unalipa anachodaiwa na bank na ku transfer right of occupancy kabisa chini ya wanasheria wako na wa bank husika halafu unammalizia chake kwa makubaliano yenu huku una process hati kwa jina lako kama ni surveyed area !!!!! (wanasheria wanajua zaidi hii mambo)
 
Back
Top Bottom