House4Sale Nauza nyumba yangu Chanika

David ayeya

Member
Feb 3, 2021
33
42
Nyumba ipo Chanika mwisho wilaya ya ilala DSM

Ina chumba kimoja chenye ukubwa wa futi14 kwa14 na fremu ya biashara moja pia yenye ukubwa wa futi14 kwa 14. Imekamilika kila kitu pamoja na tiles

Ipo kwenye barabara ya mtaa na ni sehemu nzuri ya biashara hususan biashara ya hardware au duka la vyakula

Pia pembeni yake kuna boma ambalo bado sijapaua la vyumba2, sebule dining na jiko pamoja na choo cha ndani. Ipo karibu na barabara ya lami.

Ukubwa wa eneo ni mita16 kwa mita16. Vyote kwa pamoja nauza sh. Mil.17

Mawasiliano yangu 0689894403.

Mali ni yangu mwenyewe hamna dalali.

1666260631357.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom