Wamekusikia.Ila bado ninajikuta natembea na rafiki zake pia wasichana wa mtandaoni kama vile Jf, Badoo, Fb nk na pia nimekuwa maarufu madanguro mengi sana mpaka naona noma.
Basi badilika mkuu, usije mfanya akajutia kukutana nawe katika maisha yake.... Mpende sana mke wako mpe penzi analo stahili rudi kundini.........hakuna dhambi isiyo na msamaha, dhambi zote kubwa na ndogo zina msamaha....Hakika huyu mwanamke niliyenae ni mvumilivu haswa na akinibamba anaishia kulia na yanakwisha. Sipendi kufanya hivi na nahitaji ushauri
Kinga natumia na kwa kuwa najikuta najutia basi mara nyingi napima na kujikuta nipo sawa, na hata baadhi ya wanawake huweka vizingiti kuwa tukapime kwanza na kudai hawapendi harufu ya condomUnakumbuka kinga lakini mkuu? Maana kwa orodha uliyoitaja kama ni kweli hii stori yako nahautumii kinga ujue unaishi kwa Neema ya Mungu tu.
Hivyo kama umeamua kuacha acha,maana ukiendelea watoto wako wataishia kua yatima muda si mrefu kwa tamaa zako.
Ichi kineno chako kimenifanya nikitafakari lkn nimeshindwa kuelewa,ni kineno kidogo sana lkn ukisoma kwa makini utagundua ni neno lenye maana kubwa saaaaaana na hakuna mtu wakuweza kufikiri akapata muongozo wake leo ama kesho,,Usijifunze kwa walioshindwa maana hata hapo ulipo wapo walioshindwa kufika.
Chukua hatua haraka sababu kama umeweza kutuomba msaada wa mawazo tayari unajitambua,mtafute mshauri wa mambo ya kisaikolojia atakusaidia.
Kumbuka umalaya hauna tuzo zaidi ya kiinua mgongo cha ukimwi au malipo ya overtime ya kaswende na visonono.
UmetishaChukua hatua haraka sababu kama umeweza kutuomba msaada wa mawazo tayari unajitambua,mtafute mshauri wa mambo ya kisaikolojia atakusaidia.
Kumbuka umalaya hauna tuzo zaidi ya kiinua mgongo cha ukimwi au malipo ya overtime ya kaswende na visonono.
All the best mkuu. Nimekupendaje kwa hayo maushauri plus na hako kaavatar.Asante nipo mbioni