Kwanza umekiri mwenyewe kuwa unatatizo. Kiri kuacha. Jitihada unazotumia katka kuwapata ndo zitumie kwa kuacha.Kwa kweli nimefurahi sana kusikia matatizo uliyonayo kwani hata mie nina tatizo hilo hilo.
Ki umri nina miaka 56 nina watoto na wajukuu, tatizo langu pia ni kuwa kila mara nimekuwa nikiwazia wanawake tu, kiukweli nawatamani sana hasa wanawake wenye matako makubwa na walio weupe.
Niko radhi kumfuatilia hadi nimpate, bahati nzuli ni wanawake wachache sana huwa wananikataa.
Ndugu zangu nami naomba mnisaidie mawazo nifanyeje ili niachane na kuwatamani wanawake maana umri umeisha kwenda lakini pepo wa kina mama haunitoki!!!
Ndugu sijui wewe dini gani, pia Mimi sio Mchungaji. Ila kuna hili jina huwa wanalitaja wanasema YESU.
Hili jina ukiliita na kusema YESU NISAIDIE NIACHE HIKI KITU nauhakika utaacha. Baada ya hapo chukua initiative za kuwatafta viongozi wa makanisa ya kilokole kwa mfano TAG, EAGT, CAG, PAG hayo hayana longo longo. Usiende yale ya miujiza unless Mungu akuongoze uingie huko kuomba msaada.
Ukitaka kuacha Fanya hili Mkuu.
Ndugu sijui wewe dini gani, pia Mimi sio Mchungaji. Ila kuna hili jina huwa wanalitaja wanasema YESU.
Hili jina ukiliita na kusema YESU NISAIDIE NIACHE HIKI KITU nauhakika utaacha. Baada ya hapo chukua initiative za kuwatafta viongozi wa makanisa ya kilokole kwa mfano TAG, EAGT, CAG, PAG hayo hayana longo longo. Usiende yale ya miujiza unless Mungu akuongoze uingie huko kuomba msaada.
Ukitaka kuacha Fanya hili Mkuu.
Akhsante mkuu, nitafuata ushauri wakoMrudie mungu!!! Kila mtu ana addiction yake,pole mkuu na mimi kuna kitu nimekuwa addicted nacho nashndwa kuacha though kinanitesa,ila kikubwa ni tusiendekeze starehe za muda mfupi, miili yetu ndo sehemu pekee tunamoishi,kwa hyo tusiitese kwa madawa ya kulevya,pombe,sigara na ngono n.k.by the way majuto ni mjukuu.
Ushauri wa jumla:baadhi ya vitu vina addiction so its better not to try them.
Akhsante kwa ushauri, huu ni mkasa unaonisibu hata sasaPole sana jamaa teh teh, imebidi nicheke tu maana umenikumbusha mkasa mmoja.
Ngoja nikusimulie mkasa huo inawezekana itakusaidia.
Wakati nasoma Advance nilikuwa nakaa kwa kaka yangu, sasa bro alikuwa na chumba kimoja kapanga halafu kaoa, ikabidi niwe nalala kwa jilani
Huyo jilani alikuwa hajaoa, na Bahati nzuri alikuwa na chumba na sebule. So tukawa tunalala sebuleni na Mdogo wake.
Huyu jamaa alikuwa na Tabia mbaya sana kama yako hii, ilifikia hatua akawa anatembea na wanawake zaidi ya watatu kwa siku (huwa nashangaa hadi sasa nguvu alizonazo huyu mtu)
Kilichotokea, usiku akileta demu hatulali, maana hajali anafanya tu hata wadogo zake tukiwa haujalala, ikabidi tuwe tunapiga chabo na Mdogo wake, tayari akawa ametuaffect kwa kiasi kikubwa hasa Mdogo wake maana alikuwa ni primary kipindi hicho.
Jamaa alikuwa hachagui, analeta mimama, visichana, wake za watu, mabibi, mpaka wengine hawaeleweke, yaani tulijionea aina na aina na Bahati mbaya jamaa alikuwa hazimagi taa chumbani kwake.
Nije kwenye point, siku moja mama yake mzazi alikuja kumtembelea, Bahati mbaya sana huyo mama naye alikuwa mcharuko, alikuwa na kijana ambaye alidai mpenz wake, lkn kijana mwenyew alikuwa ni Mdogo kuzidi mtoto wake, huyo mama ilibidi akae chumbani na huyo the so called mpenz wake, sasa mtoto wake naye akaja na mama dizaini ya mama yake, inabidi ulale sebuleni na sisi tukalala kwenye makochi, you know what happened , huku mama analia jamaa anakula mzigo, hapa napo mtoto analiza... Hapakulalika siku hiyo as if walikuwa wanaambiana tuanze, itbwas horrible.
Asubuhi kulipokucha aibu zimewajaa, hawajui wafanye nin, MTU na mtoto wake.
Point yangu ya msingi ni kwamba mwisho wa haya mambo ni aibu, kama hutachukua hatua sasa utakuja kuaibika, either kwa magonjwa ya zinaa ama aibu kama hizi.
Hadi sasa ninavyokueleza jamaa alihama getting kwake na mama naye hakuonekana kwa aibu ile. Mdogo wake jamaa akaoa akiwa darasa LA saba kwa kuwa affected na vitendo vya kaka ake.
Ni tatizo kubwa sana ulilonalo asee litakuletea aibu, wake up uko kwenye danger zone.
Hata kama story hii umetunga lakini kuna watu wa type hii ambayo mm nimewashuhudia
Ilifikia kipindi jamaa wakataka wamchome moto kwa kuwa alikwisha tembea na wamama wote walikuwa wamepanga karibu yake mpaka Shemeji yangu mke wa bro alimpitia. Ni kama alikuwa anatumia Dawa, kazi yake yenyewe ilikuwa uDJ tu. Stop it from the moment unaisoma comment hii.
astraghafitululah
Wala hutakiwi kuelewa.Sijauelewa ushauri wako mkuu
Hakika huyu mwanamke niliyenae ni mvumilivu haswa na akinibamba anaishia kulia na yanakwisha. Sipendi kufanya hivi na nahitaji ushauriUnapokuwa na MKE mtulivu hana habari na wanaume wengine bali NI wewe TU na anakupenda kwa DHATI awe MZURI au MBAYA hastahili kuonewa , kunyanyaswa , kumdhihaki , kufedhehesha nafsi yake au kumdanganya na kuchezea HISIA zake jiandae kuja jutia maisha yako na tayari nafsi yako imeanza kukusumbua, sasa kama umalaya unaoufanya unaweza kuacha basi acha mara moja kwa kuwa naona anguko kubwa sana mbele yako kama utapuuzia, na machozi ya mwanamke yakidondoka jiandae kwa mikosi na nuksi.. Tubu na badilika mkuu na kubadilika inahitaji dhamira ya kweli kutoka nafsini its not too late, hakuna jambo lisilo na jawabu..........
Ushauri wako ni nini mkuu?Hii swala la umasikini huko nyuma tutokako huja na nguvu kubwa sana mbeleni......
Unaweza jikuta unakuwa mtu wa kugonga mademu hasa wale waliokutosa enzi hizo....
Kugonga wale waliokuwa wanaonekana classic kwako....
Kuwa mchoyo wa kutoa vitu kwa jamii hasa msaada wa hela....kwan unawaza mbona ww ulikuwa na shida hukusaidiwa.......
Nawaza tu kwa sauti.....wale wa masaki mtupe xperience yenu after kuanza maisha huwa inakuaje kwenu by basing jwa hivyo vipengele
Sawa mkuu, wife nikimshirikisha hataniona muhuni kweli?