Nimekuwa mtumwa wa wanawake

Nimekuwa mtumwa wa wanawake

Kama hujapata mtoto na huyo kimwana/mke wa sasa, tumia muda wako kutafuta mtoto na mke wako. Naimani utajikuta una majukumu mazito ya kufanya. Lakini pia kama una watoto basi ni muda mzuri wa kuanza kuwajengea future nzuri watoto wako, badilisha mfumo wa maisha kwa kuanza kufuatilia hali za watoto wako. Zaidi, jaribu kufikiria njia zingine za kuwekeza zaidi ili ujiongezee kipato na uweze kutengeneza ajira kwa watanzania wengi zaidi. Majukumu kama hayo yatakufanya uwe motivated na kuwa busy muda mwingi. Yapo mengi ya kukuambia ila hayo yanaweza kusaidia pakuanzia.
 
Kila la heri katika kuwa mtu mpya , baba mzuri , mume mzuri
Kuwa baba na mume ni zawadi tosha toka kwa Mungu ona kama umependelewa na umepewa nafasi ya kuwa kichwa cha family unajua kuna watu wanatamani kuwa kama wewe na mke mzuri na watoto lakin wameshindwa amua kuwa na utakuwa .
 
Ndugu sijui wewe dini gani, pia Mimi sio Mchungaji. Ila kuna hili jina huwa wanalitaja wanasema YESU.

Hili jina ukiliita na kusema YESU NISAIDIE NIACHE HIKI KITU nauhakika utaacha. Baada ya hapo chukua initiative za kuwatafta viongozi wa makanisa ya kilokole kwa mfano TAG, EAGT, CAG, PAG hayo hayana longo longo. Usiende yale ya miujiza unless Mungu akuongoze uingie huko kuomba msaada.

Ukitaka kuacha Fanya hili Mkuu.
Kwanini hujataja Roman au Lutheran hapo?
 
Umeshasema unahisi anajua anakuvumilia tuu
Sasa ni vyema mpe pesa mwambie akanunue nguo nzuri unataka kutoka nae jioni , tafuta sehemu nzuri iliyotulia mwambia you need to confess hii ni hatua ya kwanza ya kumwaibisha ibili na ataona umeamua ,Mwambie unampenda wewe ni mwanaume una madhaifu yako lakini umechoka hutaki udhaifu huo ukucontrol maisha yako jitahidi kumweleza ni jinsi gani upo proiud yeye kuwa mkeo mwambie hutaki kumpoteza mwambie kiri kwa kinywa chako kuwa umechoka kusleep around unataka utulie uwe baba bora na mume bora , hawezi kukasirika hata akikasirika atatulia kama ana akili na busara maana umejieleza mwenyewe . mwambie unaomba msaada wake wa maombi ,
Mwambie ambavyo unatamani yeye awe muda wote maana kuna kitu pia nje kinakuvutia toka kwa hao wanawake , mwambie vile amabvyo unatamani akutreat, Anza maisha upya kwa kumaanisha Mungu atakusaidia kakangu
Akhsante sana kwa ushauri huu, nitaufanyia kazi
 
weka mikakati husisha watu wa imani ,husisha marafiki zako ambao wapo positive hawaafikiani na tabia zako futa namba za hao wanawake na chicks wote akikupigia pata ujasiri toa ujasiri toka ndani ya moyo wako waambie huwahitaji tena be straight be a man unaweza unaweza kabisa
Ongea na nafsi yako jinee kushinda hakika unaweza
chukua na zawadi
 
Kama hujapata mtoto na huyo kimwana/mke wa sasa, tumia muda wako kutafuta mtoto na mke wako. Naimani utajikuta una majukumu mazito ya kufanya. Lakini pia kama una watoto basi ni muda mzuri wa kuanza kuwajengea future nzuri watoto wako, badilisha mfumo wa maisha kwa kuanza kufuatilia hali za watoto wako. Zaidi, jaribu kufikiria njia zingine za kuwekeza zaidi ili ujiongezee kipato na uweze kutengeneza ajira kwa watanzania wengi zaidi. Majukumu kama hayo yatakufanya uwe motivated na kuwa busy muda mwingi. Yapo mengi ya kukuambia ila hayo yanaweza kusaidia pakuanzia.
Nimezaa nae watoto wawili wa kiume, nitafuata ushauri wako mkuu
 
Kila la heri katika kuwa mtu mpya , baba mzuri , mume mzuri
Kuwa baba na mume ni zawadi tosha toka kwa Mungu ona kama umependelewa na umepewa nafasi ya kuwa kichwa cha family unajua kuna watu wanatamani kuwa kama wewe na mke mzuri na watoto lakin wameshindwa amua kuwa na utakuwa .
Una hekma sana we mwanamke...umeolewa?
 
Unakumbuka kinga lakini mkuu? Maana kwa orodha uliyoitaja kama ni kweli hii stori yako nahautumii kinga ujue unaishi kwa Neema ya Mungu tu.
Hivyo kama umeamua kuacha acha,maana ukiendelea watoto wako wataishia kua yatima muda si mrefu kwa tamaa zako.
 
Back
Top Bottom